Series (Special thread)

Series (Special thread)

Habari wakuu, simu yangu internal space ni 8gb, na extenal ni 5gb,internal space imebaki kama mb250 ila extenal ina zaidi ya mb600 lkn nikidowload app yoyote play store yenye space ya mb200 au chini ya hapo inaandika not enough space, hapo imekaaje wakuu na ninawezaje kuexpand space zaidi?
Aina gani simu
 
Nahitaji series ya power all season....mwenye nayo kama uko dar naomba unipe location yako nije kuchukua. Thank you.
 
Mambo Vipi Wadau sijatembelea muvi muda sasa.....

Mwenye Taarifa ya Stike Back tafadhali kuna mpya.... ????

Pablo Escobar
El Patron del Mal. Kuna Season 2????
 
Mambo Vipi Wadau sijatembelea muvi muda sasa.....

Mwenye Taarifa ya Stike Back tafadhali kuna mpya.... ????

Pablo Escobar
El Patron del Mal. Kuna Season 2????
Strike back imetoka season 5 nadhani imeisha isha tunasubiri nxt season asee kali kinoma
 
Kama kuna mwenye test ka yang kwenye series naomba tushare maujanja mana kuna aina ya series nazipenda haziongelewi kabisa humu.....
Series nazokubali kwa sasa ni :;1.the chi na 2.on my block
 
  • Thanks
Reactions: SDG
The crossing inahusu nini mkuu...
When refugees from a war-torn country start seeking asylum in a small American fishing town, it becomes clear that something strange is going on. The residents soon learn that the country they are fleeing from is America, and the war they are escaping hasn't happened yet. While the government sets to work trying to untangle the truth behind the ominous migration, the fact that the lives of those involved will never again be the same seems to be the only thing that no one can deny.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom