Series (Special thread)

Series (Special thread)

Pole sana, ile ya Berlin! Peter Quinn amekufa kwenye season ya 06.

S06
Uchaguzi umefanyika USA, amechaguliwa rais mwanamke Elizabeth Keane,Dar Adal na genge lake ndani ya CIA wanamchezesha kanabanzo huyu rais mteule kwa kutokukubaliana na sera zake, kitu ambacho baadae aliamua kuwafunga wote. Siku ya iliyopangwa kumuua huyu mama Carrier pamoja na Peter wanamtorosha kwenye gari kutoka hotel aliyokuwa anakaa maana alikuwa bado hajaapishwa, ndiyo ilikuwa siku ya mwisho kumwona Peter kwenye homeland.

S05
Baada ya Saul na timu yake kumuua yule double agent wa Russia Allison Carr aliyekuwa CIA station chief Berlin,aliyekuwa anatoroshwa kwenye gari kutoka Berlin kwenda Moscow, baada ya kupewa siri na (arch bishop) the head of Russia intelligence in Berlin station.

S07
Russia wamelipiza kwa kutengeneza machafuko ndani ya USA kama yale ya Ukraine kwa kutumia madhaifu ya rais Elizabeth Keane, Saul amegundua hilo na kumtafuta arch bishop ambaye alikuwa nje ya kampuni kutokana na ule msala wa kuvujisha zile nyaraka za Allison Carr.

Pata nafasi uitafute, hasa upate copy safi yenye picture quality 720 au 1080 full hd, bar watakusahau kwa muda.

The Americans pia imerudi, zile shughuli za KGB vs FBI miaka hiyo.
Season 6 sijaiangalia,ila series hii inaonesha maisha ya mwanamke jasusi ambaye anatoa hata mwili kusaka info,anakosa muda wa kulea familia.
Hana mume
 
Mkuu mimi nimedownload ina lugha mbili Spanish/English ni swala tu la kuswitch lugha kama unatumia vlc unaenda kwenye audio tab then audio track kisha unachagua english

Ukisearch wakati wa kudownload tafuta yenye dual audio
Naomba nielekezwe namna ya kupata subtitle,zote nazodownload hazina SUBTITLE
 
Season 6 sijaiangalia,ila series hii inaonesha maisha ya mwanamke jasusi ambaye anatoa hata mwili kusaka info,anakosa muda wa kulea familia.
Hana mume
Yule Carrie ni noma, yaani yeye anajali kazi yake tuu, kuliko hata maisha yake mwenyewe, yupo tayari kufanya lolote ili mradi kazi yake iende.
 
Mimi huwa nadownload kwenye cm natupia kwenye flash kisha na nachomeka kwenye TV.
Shida natamani niweze kuangalia na subtitle lakini imekua ni changamoto!.
Tuelekezane wajomba maana sometimes kingereza kinachoongewa nashindwa kuwaelewa moja kwa moja!
 
Homeland imetembeatembea
No,,hukunielewa mwanzo,nilikua naulizoa hii The Crossing,asee nmepakua ep moja tu lakin mbele itakua moto,,namwona mdada mmoja alikua kwwnyw series moja siikukbuk jina vzr ila ilikua inatecnology sana ya kuwakamata wahalif,baadae waliikansel naiman,,APB kama sikosei..hii itakua tamu naiman
 
Mizigo hyo hapo week inayoanza kesho
Screenshot_20180422-112751.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom