MrSocrates
Member
- Sep 29, 2017
- 46
- 30
Wakuu naombeni mniambie series Kali za ki black America kama power na empire ... Nahitaji kudownload Leo niangalie
Kuna OZPower na Empire nimeshaangalia ni ipi nyingine ambayo ni ya America uko vizuri?
Ushapotezwa zamaniHahaa nitaua mtu.
Kama itakua poa kama movie ya Troy, itakua fresh sanaaJamani mzigo mpya naona utapunguza machungu ya GOT unaitwa TROY fall of the city Season one episode one umetoka leo
Cha kufanya vitu ambavyo sio muhim sana viweke kwenye SD card,vitoe kwenye internal memory,ili upate nafas zaid,hakuna njia nyingine au ubadili sim upate yenye gb 16/32Iko ivyo wakuuView attachment 719954
App gani hii unatumia?![]()
![]()
![]()
Tumesubir sana wacha zikuje tena,jaman ipi inabamba niipakue maana the Strain nmemaliza tayar
Tv time mazee naangalia bado siku ngap mzigo urudi hewanApp gani hii unatumia?
Kwamtazamo wangu haisisimui kabisaTimeless ipoje jaman
toa maudhui ya hyoNetflix wanashusha kitu Killer Rain
Ngoja leo nikamuangalie huyo mwenza vizuri nije nimkate.Ushapotezwa zamani
Mimi ilinishinda, wanafanya kama DC legends of tomorrow ila haisisimui kabisa.Timeless ipoje jaman
Haya,usipanic tu. Ni handsome hatariNgoja leo nikamuangalie huyo mwenza vizuri nije nimkate.
Mm mwenyewe hata siielewi kabsa,,, nljua itakuwa bonge la series,,,epsode zngne kuzmalizia naona uvivu kuztzama,,,imepoa sanaWakuu hivi mcmafia iliishia wapi?maana ilipofika episode ya 8 ikapotea!
Imekwisha..labda waje na series 2Wakuu hivi mcmafia iliishia wapi?maana ilipofika episode ya 8 ikapotea!
Ni episode 8 season 1Wakuu hivi mcmafia iliishia wapi?maana ilipofika episode ya 8 ikapotea!
Hii ni series kali niliyowahi kuiona kwa siku a karibunThe Punisher....
Hupaswi kuikosa aisee!