Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,331
- 176,111
The the teeeeh!Si kwa kuadmika huku jaman.. Na survillance camera zangu ukazima![]()
The the teeeeh!Si kwa kuadmika huku jaman.. Na survillance camera zangu ukazima![]()
TTCL mkuuHabari wakuu, naomba kujuzwa kuhusu mtandao gani naweza pata GB za kutosha za kushusha series kwa bei nafuu, liwe bando la mchana au usiku poa tuu.
Ya kawaida tu au ya chuo mkuuTTCL mkuu
Ujasusi,ngumi,drama,dirty cops,wizi nkKwa ujasusi , au ngumi au mapenzi ? Ukali wake au u moto wake ni nini?
Toen na maudhui yakeMkuu sahivi kuna series Kali sana
Money heist
The outh
Absentia
Hard sun
Fall of a city
Kwa sasa hizi ni moto cc Espy,Greg,maserati,chuma cha reli
The Oath ilinishnda kabsaa,sipend serirs ambazo zipo zipo tu hata kimazingira hayaelewekZima ngumi ngumi,intelligence nini mambo zetu zile?
Ya chuo mkuu ndioo utafaidiYa kawaida tu au ya chuo mkuu
TTCL wana bundle LA usiku linaitwa toboa sh. 1000 GB 10Habari wakuu, naomba kujuzwa kuhusu mtandao gani naweza pata GB za kutosha za kushusha series kwa bei nafuu, liwe bando la mchana au usiku poa tuu.
Hivi hili bundle unaanza kutumia SAA ngap??? Kama hawajaweka exactly time limit....TTCL wana bundle LA usiku linaitwa toboa sh. 1000 GB 10
TTCL wana bundle LA usiku linaitwa toboa sh. 1000 GB 10
Same as halotelTTCL wana bundle LA usiku linaitwa toboa sh. 1000 GB 10
Nipe hyo menu ya halo mkuu ya bando hiloSame as halotel
Ilikuwa cancelled baada ya season oneAmerican Odyssey kuna mtu ana taarifa zake? Ninayo season one pekee
Yaa, nimeiona mkuu, shukranSame as halotel
Ingawa ni 10gb kwa sh 1500 na sio 1000Same as halotel
Daah kwa nini mkuu. Mi niliipenda kinomaIlikuwa cancelled baada ya season one
Hata the 100 inakuja soon
Ni SAA sita usikuHivi hili bundle unaanza kutumia SAA ngap??? Kama hawajaweka exactly time limit....