Majukumu mama, nalea now.Unapotea sana jamani. Kuna series zimeanza hizi hapo juu mekuandikia
Nmecheki trailer nimeikubali, ngoja nikaipakue mkuu.Mkuu angalia The crossing
Hata hiyo Deep state iko vizuri sanaNmecheki trailer nimeikubali, ngoja nikaipakue mkuu.
Yah tena nilisahau i wanted to tell you about this Italian laxurius car na jina lakoKwa money heist kuna mmoja anataka akipata ela akanunie maserati...
Spanish ni lugha nzuri na si ngumuMi Napenda Spanish ile ile aisee
Hii ipo kama strike back kila episode tukio lake au ina story?Hata hiyo Deep state iko vizuri sana
Wakati nasubiria Qeen of South, ngoja niijaribu hii.Hata hiyo Deep state iko vizuri sana
Aisee mi mwenyewe naipenda sana Spanish. Baada ya Kiswahili, Kiingereza na Kiebrania sasa nina mpango nijifunze hii makitu! So sweet real, imepelekea niwapende waigizaji wa Mexico akina Sucre, Epifanio, Camira, Teresa Mandosa, Brenda n.k!Mi Napenda Spanish ile ile aisee
nayajua mbonaYah tena nilisahau i wanted to tell you about this Italian laxurius car na jina lako
Oooh. Hongera sana my dearMajukumu mama, nalea now.
Oooh. Hongera sana my dearMajukumu mama, nalea now.
Futaaaaaaa mavitu vitu yote
kuna vya muhim zaidi mkuuN8 tekinoFutaaaaaaa mavitu vitu yote
Strike back nimeiana ni kama epsod 3 tu season 1 bt nimeipendaMambo Vipi Wadau sijatembelea muvi muda sasa.....
Mwenye Taarifa ya Stike Back tafadhali kuna mpya.... ????
Pablo Escobar
El Patron del Mal. Kuna Season 2????
Hii haina kujutia hii.Hutajutia mb zako
Nimeiona kwa terrarium TV, ya mwaka huu hiyoKama uliipenda series ilikuwa inaitwa The event ikafutwa sasa kuna series inataka kufanana na hiyo inaitwa The crossing imeanza vizuri sana
Imerudi?Previously on homeland