Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nakua natumia sim au pc? Maana mm napakua terrerim tv naweka kwenye pc,ss hii inakuaje Da Vinci
Ukitumia simu au PC ukifungua kwa vlc kuna ukiifungua juu upande wa Julia kuna sehemu ukibonyeza utaona kuna option ya language honesty Terrerim TV sijawahi tumia
 
Tatzo ile lugha,,daah nmesikitika kuangalia nankusoma hua inanochosha
Mkuu mimi nimedownload ina lugha mbili Spanish/English ni swala tu la kuswitch lugha kama unatumia vlc unaenda kwenye audio tab then audio track kisha unachagua english

Ukisearch wakati wa kudownload tafuta yenye dual audio
 
Ngoja nijarib tena
 
Isidingo
Banshee
Road to destiny
Beast n beauty
God of war
Boys to flowers
Game of throne
Prison break
Secret mission
N.K
 
espy kuna kitu kinaitwa siren madam. Nyingine terror,nyingine nayo nimesahau takuambia ngoja nikaichek
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom