xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,133
- 7,352
Inaitwaje hyo kiongozKali sana jamaa wanateka sehemu ya kuchapishia fedha wanachapisha pesa zao na kabla ya tukio wanaingia darasani for five months na hakuna kujuana majina wanajiita majina ya miji ka Nairobi Berlin Denver Helsinki and so on.kuna jamaa anajiita Professor very smart Scofield akasome