Greg50
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,979
- 2,494
Blindspot 3 kweli haieleweki, ila inavyoonekana kama vile Roman ana kampango flani huko mbeleni.Kuna nyingne zinakua angalau maana kuna kua kuna story kubwa nyuma inayo connect ila nyingne zinakua zina kastory kadogo tu na hakapo interesting kama blindspot 3 ilivyo sasa had inaboa asee bora zile zilizopita
