mzee alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 711
- 264
Kweli mkuu, wakikupa ni tag namm,,, ninayo episode moja ila haina subtitle nkaishit na iyo webmwenye link ya kudanlodia "el chapo " anitumie
Kweli mkuu, wakikupa ni tag namm,,, ninayo episode moja ila haina subtitle nkaishit na iyo webmwenye link ya kudanlodia "el chapo " anitumie
Mbona me nashindw kuitumia, au mpaka uwe na nn na nn1337x.to
Kwa jinsi trailer lake lilivyo inaonekana kabisa ni ya muendelezoSom says ni nzuri,try it. Sijajua kama ni episode na tukio au muendelezo
Kabisa, sema hii series wagumu, hamna hata mtu mwenye mpenzi humo ndani.Acha tu. Naipenda sana ile series,wapte tu order ya season 02
Ni fundi, anauvaa uhusika haswaaKwenye breaking bad kama Gustavo na Revolution alifanya vizuri zaidi
Mwenyewe nashangaa sikuhizi namuona mara moja kwa wikiMkuu umempeleka wapi Espy au yuko undercover!
Zote zinatumika, chagua yeyote, wameweka options nyingi ili ikizingua moja uwe na option nyingine ya kuchagua.Mkuuu hiii web...ikifika kwenye kudownload move unatumia option ipii maana zinakuja kibaoo...kama torrent......magnetic download...
Eztv tamu ila episode zao zinakuaga na mb shibe.Eztv.ag hiii ndio natumia inaseries zote za kizungubila inabd uwe na bittorrent
Eztv tamu ila episode zao zinakuaga na mb shibe.
ila ndio nzuri kama unatumia pc au TV, mb ni za kawaida tu 250,300,350Mie series zangu zote natumia hioEztv tamu ila episode zao zinakuaga na mb shibe.
Ingia 1337x.to zipo kibao, ila ni CAM tuu, safi bado haijatoka.Wakuu nje ya mada kidogo, black panther naweza kudownload kutoka site gani
Ndio lazima utorrent au bittorrent.Kwa pc pia lazma use nau torrent kupakua kwa hyo website?
Ukiwa na utorrent umemaliza kaziMbona me nashindw kuitumia, au mpaka uwe na nn na nn
Shukrani mkuuSubscene.com hii ni kwa subtitles za muvi na series zote
wakuu aliye ona Homeland, hivi blod kanyongwa kweli maana nipo Season ya tano then stelling kanyongwa Season ya nne yani hamu ya kuangalia sina
Naomba unijibu ndiyo au hapana kama kanyongwa sitaki lecture nyingi
kanyongwa asee ila ni season 2 bana sio 4Aah sasa hivi bana kila season ina story yake, ila 6 & 7 zina story moja... Ule mzuka umeisha kabisa aiseehawa sijui vipi, very pathetic, si angenyongwa kwenye Season ya 6 huko, ndo alikuwa ananogesha hii Series, nimepata naweka next ili nimuone mshikaji lakini wapii![]()
![]()
, but huko mbele iko poa au siyoo
Eti steling anakufa mwanzo wa Picha![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ipo vizuriMie series zangu zote natumia hio
Alafu nilichokuja kugundua series zinazohusu CIA hazikosi mambo ya prisoner exchange, udukuzi wa berlin, drone strike, ugomvi na agency nyingine, terrorist kupanga kulipua marekani alafu akashindwaAah sasa hivi bana kila season ina story yake, ila 6 & 7 zina story moja... Ule mzuka umeisha kabisa aisee
. Yaani stori zao zinacheza umoumo