Series (Special thread)

Series (Special thread)

Niambieni mzigo wa maana wenye action The Queen of the South, IRIS Jumong nk
 
Kuna watu hawajui sijui maana ukiwaambia hili wanakupa lile. Niliomba action series. Natajiwa politics za Marekani kwenye Designated Survivor mnyxuuuuu
Mmh. Hatari.
Designated mwanzo ilianza moto ndio man mengine alikutajia.
1. Blindspot
2. Strike back
3.into badlands
4.the brave
5.the last ship
6.Quantico
7.seal team
8. The six
 
Mmh. Hatari.
Designated mwanzo ilianza moto ndio man mengine alikutajia.
1. Blindspot
2. Strike back
3.into badlands
4.the brave
5.the last ship
6.Quantico
7.seal team
8. The six

Asante Maserati NIMEPAKUA Mzigo wa The Last Ship upo Poa sana! Blind spot uko Poa nao angalau Asante kwa sasa naiangalia Person of interest NIMEMUONA BEN WA KWENYE LOST Ngoja niendelee labda sitajutia Mb zangu.
 
Kuna punisher,mc mafia,taken,counterpart. Zipo kibao tu. The last ship habari ingine.
 
Na mmi pia naomba ivyo aisee maana yasije kuwa ya allegencies au legacy?
Alafu series nzuri sikuizi wanazicancel, sema nimeona pia sisi na watu weupe tuna ladha tofauti, maana kuna series tunazipenda ila wao wataziponda.
 
Kuna watu hawajui sijui maana ukiwaambia hili wanakupa lile. Niliomba action series. Natajiwa politics za Marekani kwenye Designated Survivor mnyxuuuuu
Designated s01 ilikua moto sana, yaani kama sio mpenzi wa politics kuna mikiki ya fbi mule ndani, ila s02 naona full time politics.
 
Mmh. Hatari.
Designated mwanzo ilianza moto ndio man mengine alikutajia.
1. Blindspot
2. Strike back
3.into badlands
4.the brave
5.the last ship
6.Quantico
7.seal team
8. The six
Muongezee animal kingdom, the blacklist, valor, banshee, Shooter, the 100, Seven seconds.
 
Elie na el chapo ikiwa English subtitle anipe link bac maana terrarium wananzngua tu apa nkikop kwa pc subtitles kwaheri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom