Series (Special thread)

Series (Special thread)

88a7c187de0d539fbdaa487934a5c366.jpg
After Long Break....
 
Duh! X-File mbona ya kitambo sana!

Anyway, it's my favorite... ni UFO na Aliens stuff ambapo, a team of two, FBI Agent anayeamini katika mambo ya uwepo wa aliens alikuwa anafanya kazi na Doctor ambae habari za existence of aliens aliona ni stori tu zisizo na ukweli wowote!

Kulikuwa na matukio kadhaa yaliyokuwa yanatokea ambayo Agent Fox aliamini yalikuwa yanafanywa na aliens huku dokta akitakiwa kutumia utaalamu wake kuthibitisha shaka ya Agent Fox.

Anyway, siikumbuki vizuri kwa sababu ni ya kitambo sana lakini ni bonge la series.
Yaa imeanza kitambo ila inaendelea mpk leo
 
Yaa I mean anything kitambo ila inaendelea mpk leo
Basi ile mini series ya 2016 itakuwa ilipata review mzuri na hivyo kuamua kuirudisha rasmi manake series yenyewe iliisha hata kabla JK hajawa rais!
 
Dont f***ck with Peaky Blinder...daaah hii series ayse...ni sheeda...
Humu kuna wakina
Tommy Shelby, Arthur Shelby, John Shelby, Ada shelby na Polly
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom