Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ila wakiwa wanapiga stori wanamuoneaga sana Amir kisa mpole alafu hajui mambo mengi.
 
Ni website ipi nzuri ya kudownload movies kwa sasa? zamani nilikua natumia kickasstorrents
 
wakuu aliye ona Homeland, hivi blod kanyongwa kweli maana nipo Season ya tano then stelling kanyongwa Season ya nne yani hamu ya kuangalia sina

Naomba unijibu ndiyo au hapana kama kanyongwa sitaki lecture nyingi
 
Alinyongwa kweli mkuu, baada ya hapo ustelingi kamwachia Carrie, Quinn na Saul.
 
Alinyongwa kweli mkuu, baada ya hapo ustelingi kamwachia Carrie, Quinn na Saul.
hawa sijui vipi, very pathetic, si angenyongwa kwenye Season ya 6 huko, ndo alikuwa ananogesha hii Series, nimepata naweka next ili nimuone mshikaji lakini wapii , but huko mbele iko poa au siyoo

Eti steling anakufa mwanzo wa Picha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom