Greg50
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,979
- 2,494
Ongezea homeland, berlin station24 hours,the unit,strike back,the brave,the blacklist
Ongezea homeland, berlin station24 hours,the unit,strike back,the brave,the blacklist
Peaky blinderDont f***ck with Peaky Blinder...daaah hii series ayse...ni sheeda...
Humu kuna wakina
Tommy Shelby, Arthur Shelby, John Shelby, Ada shelby na Polly
Vipi ukisema uanze kuangalia hiyo mini series itaeleweka bila ya kuangalia huko nyuma kwa wahengaBasi ile mini series ya 2016 itakuwa ilipata review mzuri na hivyo kuamua kuirudisha rasmi manake series yenyewe iliisha hata kabla JK hajawa rais!
Kama suits sioseries inahusu sheria
Yes u torrent muhimuItakuwa ni mpaka uwe na u torrent nadhani
YesKama suits sio
Haloo wale designated survivors mzigo umerudiOngezea homeland, berlin station
Utapata tu idea lakini sio kuelewa!Vipi ukisema uanze kuangalia hiyo mini series itaeleweka bila ya kuangalia huko nyuma kwa wahenga
Yan awa jamaa naona kama season 2 wameznguaHaloo wale designated survivors mzigo umerudi
Mase umeijaribu McMafia? Ina ladha kama ya The night manager ila bonge la kazi chini ya bbc.
Designated inanitia uvivuHaloo wale designated survivors mzigo umerudi
Nmekusoma, nitaitafuta s10Utapata tu idea lakini sio kuelewa!
Yenyewe ilikuwa ni Full Season Series yenye seasons 10 (excluding mini series).
Kwa seasons 10, ina maana ilikuwa na episodes takribani 200 wakati miniseries ilikuwa na episodes 6 peke yake.
Na kwenye hii mini series ilikuwa ni kama conclusion tu ya kile alichokua anaamini Agent Fox kwamba ni conspiracy theories tu!
Labda ungeanza na Season 10 kisha ifuate mini series!
Mzigo umetulia, waipe order ya s02 aisee wasiicancel.The Brave!!![]()
No,ile sasa hivi wanaonyesha michezo ya kisiasa inavyokuwa. Mi bado naipenda aisee.Yan awa jamaa naona kama season 2 wamezngua
Designated inanitia uvivu
Niko na huo mpango,naivutia vutia kasi tu niianze.Mase umeijaribu McMafia? Ina ladha kama ya The night manager ila bonge la kazi chini ya bbc.
Na mmi pia naomba ivyo aisee maana yasije kuwa ya allegencies au legacy?Mzigo umetulia, waipe order ya s02 aisee wasiicancel.

Hutojuta kwa kwelNiko na huo mpango,naivutia vutia kasi tu niianze.