Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,799
- 4,230
the brave nshaikung'uta yote ,nisaidie nyingine kali kali mithili ya last ship,tyrant,homeland,au 24 mkuuMm niliacha kuangalia seal team ilipoanza the brave
the brave nshaikung'uta yote ,nisaidie nyingine kali kali mithili ya last ship,tyrant,homeland,au 24 mkuuMm niliacha kuangalia seal team ilipoanza the brave
The brave umeimaliza?!mbona inaendelea episode ya 11 imetoka juzithe brave nshaikung'uta yote ,nisaidie nyingine kali kali mithili ya last ship,tyrant,homeland,au 24 mkuu
nshaicheki mpaka hapoThe brave umeimaliza?!mbona inaendelea episode ya 11 imetoka juzi


Jaribu kutafuta Berlin Station...Naomba series za kijasusi zenye maudhui kama ya 24, homeland, prison break etc,. Natanguliza shukrani.
Naifuatilia kwa karibu ila bado kuelewa inanipeleka sehemu gani... Naona kuna kuzungukana sana humo ndani...Kuna mtu anaangalia Knightfall?!
Shukrani, ngoja niisakeJaribu kutafuta Berlin Station...
Seal naona kama ya kishamba flani hivi. Aagha. Mie sikuielewa nikaikachawadau hiv hii seal team ni kali?? maana najifikiria hapa kuipakua
Check breaking bad ya kitambo tho 2013 kama sikosei,kuna blindspot pia..the brave nshaikung'uta yote ,nisaidie nyingine kali kali mithili ya last ship,tyrant,homeland,au 24 mkuu
asante sana,ila hii blindspot kama sikuilewa hiv ep01 uko mbele ni kali??Check breaking bad ya kitambo tho 2013 kama sikosei,kuna blindspot pia..
asante sana,ila hii blindspot kama sikuilewa hiv ep01 uko mbele ni kali??



pole ndugu. Tunatembea nayo season ya 3 nayo. Endelea nayo,nzuri. Msalimie Paterson namkubali sana IT wa nguvu.Mbona la kibwege sana jamaa mwenyewe hata hajachangamkaAngalia series mpya inaitwa MCMAFIA nzuri sana
Kuna tamthilia mpya inaitwa FINDING ESCOBARS MILLIONS watu wamekwenda kutafuta zile dolla alizokuwa anazichimbia escobar sehemu mbalimbali
Bonge ya series inayohusu mambo ya kimafia,binafsi nimetokea kuikubali sanaMbona la kibwege sana jamaa mwenyewe hata hajachangamka
Bas episode ya kwanza sijaielewaBonge ya series inayohusu mambo ya kimafia,binafsi nimetokea kuikubali sana
Roman jamaa lina akili, yaani vitu vinatokea sasa hivi yeye alishavipanga akavipiga tatoo kwa dadaake. Sema nao s03 kama wanarudia stori zilezile za mkubwa wao anakua traitor alafu wanamuondoa.pole ndugu. Tunatembea nayo season ya 3 nayo. Endelea nayo,nzuri. Msalimie Paterson namkubali sana IT wa nguvu.
Mi mwenyewe nimeona iko boring hivi!!!Bas episode ya kwanza sijaielewa
Mi naipenda hivo hivo tu yaani....Roman jamaa lina akili, yaani vitu vinatokea sasa hivi yeye alishavipanga akavipiga tatoo kwa dadaake. Sema nao s03 kama wanarudia stori zilezile za mkubwa wao anakua traitor alafu wanamuondoa.
Hii breaking bad Bana ngoja nitulie labda huko mbele itanivutia maana Niko e3 naona Kama inanichosha tuCheck breaking bad ya kitambo tho 2013 kama sikosei,kuna blindspot pia..
Baba endelea baba. Hutatamani kuiachaHii breaking bad Bana ngoja nitulie labda huko mbele itanivutia maana Niko e3 naona Kama inanichosha tu