Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Ya 2 we itazame,sizipendagi movie zenue uongo kibao hata robo ya uhalisia haina. Sinaga mapenzi nazo hata kidogo...kama ilivyonishinda GOT ni sawa na hii.Kwann?..Umeishia ya ngapi?
Ya 2 we itazame,sizipendagi movie zenue uongo kibao hata robo ya uhalisia haina. Sinaga mapenzi nazo hata kidogo...kama ilivyonishinda GOT ni sawa na hii.Kwann?..Umeishia ya ngapi?
Hahaha sawa mkuu Ila mimi nmeiona iko poa sna nipo epsd ya 6 nmebakiza 2 niimalize season 1...Ya 2 we itazame,sizipendagi movie zenue uongo kibao hata robo ya uhalisia haina. Sinaga mapenzi nazo hata kidogo...kama ilivyonishinda GOT ni sawa na hii.
Kama unapenda madude ya ajabu ajabu na mazimwi zimwi basi itakufaa sana. Ila sisi wengine hapana. Nilivo muona lincoln nilifurahi sana nikajua itakuwa fulla ction na mambo mengi,ptuuuuuuuu niliitema mwanzoni kabisa.Hahaha sawa mkuu Ila mimi nmeiona iko poa sna nipo epsd ya 6 nmebakiza 2 niimalize season 1...
Kama unapenda madude ya ajabu ajabu na mazimwi zimwi basi itakufaa sana. Ila sisi wengine hapana. Nilivo muona lincoln nilifurahi sana nikajua itakuwa fulla ction na mambo mengi,ptuuuuuuuu niliitema mwanzoni kabisa.Hahaha sawa mkuu Ila mimi nmeiona iko poa sna nipo epsd ya 6 nmebakiza 2 niimalize season 1...
Sawa mkuu ngoja niendelee kuifatilia kama utakuwa unazifaham na zingine zenye mfanano na hii naomba nitumie majina ykeKama unapenda madude ya ajabu ajabu na mazimwi zimwi basi itakufaa sana. Ila sisi wengine hapana. Nilivo muona lincoln nilifurahi sana nikajua itakuwa fulla ction na mambo mengi,ptuuuuuuuu niliitema mwanzoni kabisa.
Kila la kheri,enjoy it
Game of throne?Sawa mkuu ngoja niendelee kuifatilia kama utakuwa unazifaham na zingine zenye mfanano na hii naomba nitumie majina yke
Kama ilikushinda GOT, basi hautakuja kuangalia series Kali zaidi ya hiyo maishani mwako.Ya 2 we itazame,sizipendagi movie zenue uongo kibao hata robo ya uhalisia haina. Sinaga mapenzi nazo hata kidogo...kama ilivyonishinda GOT ni sawa na hii.
Kama ilikushinda GOT, basi hautakuja kuangalia series Kali zaidi ya hiyo maishani mwako.
Game of thrones hatari Sana hamna series hata inayoikaribia kwa hizi zinazotoka sasa. Labda naweza sema Breaking bad pekee inaweza kuwa close kidogo.
Kwakua ndio series pekee uliyo iona???
Tazama zingine punguza ushamba kidogo. Sio,lazima GOT ndio uione ni kali kuliko zingine. Kila mtu na ladha yake
Nimeusubiri simce uko na siku 56 huo. Nausubiri ujae jaeNaangalia Valor, mzgo mpya in town
Ushamba nilio usungumzia hapa ni ku force kila mtu akione kizuri kile ulichokipenda wewe..na ndio maana huko juu ulivyosema umeipenda nikakubaliana na wewe na kuacha uendelee maana ni chaguo lako hilo. But usi force unachokipenda wewe ukaona mwenzio kapitwa au ulimwengu umemuacha nyuma kisa hajatazama GOT...Kila mtuu na ladha yake hilo ndio swala hapa nimeangalia series zaweza kua 30+,mambo ya ushamba yamekujaje hapa mbona nilikuambia tuu kistaarabu kwamba hii GOT ni the best nakushangaa tuu kwanini ilikushinda, ungesema tu labda unapenda series labda zenye mantiki ya Drama, romance, family, comedy,adventure, crime au horror sio tunaitana washamba dada angu.
Alafu kwa uchunguzi wangu ambao hauna verification, validation, clarification wala feasibility yeyote watu ambao huwaita watu wengine sifa mbaya basi huwa sifa hizo wanazo wao kwa mfano mtuu akimuita mwenzie Malaya, mchoyo, mshamba au mchawi basi huyo anaemuita mwenzie ndio anamiliki tabia hizo.
Hii ni list ya series nilizoangalia na ninazoendela kuangalia na character niliovutiwa katika kila series.
1. Game of thrones - Tyrion lannister
2. Breaking bad - Jesse Pinkman
4. Stranger things - Eleven( Season 2, inatoka October 28)
5. Narcos - Agent PENA
6. Mr. Robot - Elliot
7. Penny dreadful - Mr. Chandlier
8. Saleem - Mary siblings
9. Vampire diaries - Demon Salvatore
10. The originals - klaus maeklason
11. The revolution - General manroe
12. Arrow - Oliver Queen
13. The flash - Barry Allen
14. West world - Bernad Lowe
15. The 100 - ( Octavia girlfriend wake huyo lincorn ambae kwenye American gods ameact Kama Sunshine, pia mwaka huu Octavia alishiriki kwenye movie ya BAYWATCH akiwa na THE ROCK, ZACK na Muhindi yule wa QUANTICO, PRIYANKA CHOPRA)
16. American gods - Mr. Wednesday
17. Prison break - T- Bag
18. Marco Polo - Marco Polo
19. Da Vinci and Demons - Leonardo Da Vinci
20. House of cards - (Francis Underwood jina lake halisi Kevin spacey, mwaka huu amejumuika kwenye movie ya BABY DRIVER yupo na JERMIE FOXY HUMO)
21. Teen wolf - Scott McCall
22. Lost - Hugo ( Bonge)
23. Queen of South - ( Teresa Mendosa, Jana limetoka trailer la X-MEN MUTANT yumo humo ndani atakua na MASIE WILLIAMS jina maruufu la GOT ni ARYA STARK)
24. Power - Ghost
25. Vikings - Lagnar lothbroke ( season 5 inatoka November 29)
26. Rome - Ceaser
27. Spartacus - Spartacus
28. Sherlock Holmes - Sherlock
29. Blind spot - Jane, ( THOR: RAGNAROCK inakuja Cinema soon nimeona Trailer yake Hadi HULK yumo humo)
30. Banshee - Kai Proctor
31. Shannala Chronicles - Shannara
32. Ray Donovan - Ray mwenyewe mtu mbaya
Pia nina series ambazo zipo tuu kwenye external yangu hazinivutii kuangalia inshort kila nikizianza naona uvivu
1. Designated survivor
2. Agent shield
3. Pretty little liars ( Ntaifuta Leo Leo baadae kwa sababu alikua anaangalia Ex wangu)
4. Better call a Saul
5. Last ship
6. The Genius
7. El chapo
8. Ballers
9. The Sopranos
10. Once upon a time
11. Family Guy
12. Shameless
13. Lethal weapon
14. 24
15. Prison break: Resurrection
16. True detective
N.k Nyingi Sana hizo tuu ndio nimezikumbuka kutoka kichwani mwangu labda baada nikitulia nikuchambulie nyengine dada.
Pia hizi ndio series mpya za mwaka huu ambazo nimetingwa tuu na majukumu kwa sasa ila nitapotulia ndio target yangu.
1. Good doctor ( hi ipo Kama episode ya 4 hivi nitasubiri angalau ifike complete season)
2. Ozark - hii Nimeambiwa ni shida Kama ulipenda Breaking bad hii utaipenda pia.
3. Suburra - Nitaanza weekend hii inayokuja.
Harakati zinaendelea kama kawaida kwani kuna mtu anaacha asili akeNimeona mama, ila sijaicheki bado.




pretender letty ndio kapata mahala pake huko...go and enjoy it mamyUwiiii umenitamanisha, naianza soon. Ley mamaa ya kutoa ya moyoni(hakopeshi).Harakati zinaendelea kama kawaida kwani kuna mtu anaacha asili akepretender letty ndio kapata mahala pake huko...go and enjoy it mamy
Anakopeshaje kwa mfano anakuambia bribe can't work like this...Uwiiii umenitamanisha, naianza soon. Ley mamaa ya kutoa ya moyoni(hakopeshi).
Genre yake ni drama,crime hivi.Kama unapenda drama za kibabe,ndio hii. I like it kwa kweli..Hii good behavior tamu kweli?