donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,138
Yeah kweli aisee, ila kuna muda sasa lucia alimwabia dingi yake christos has been dead for yearsHujaona pale ambapo walikuwa wanakula kama kumuaga hivi baada ya ku graduate akasema hataki kuishi kwenye meli anataka akaishi nchini kwake? Baadae akaonekana alivamiqa akapigwa sana ndio akafa. Baba ake akaenda,akalia sana. From there baba ake ndio akaanza kutumia nostos.
Mimi ninazo zote season 1 to 4Mwenye series ya spartacus season 2 na 3 plz
[emoji28][emoji28]Duh! Hizi makitu ni za mupya eeeh!! Nipo na mporipori wa 700s Ragnar wa Vickings kwanza, hizi za mupya ngoja nifugefuge kwanza zinenepe kama Hadija Kopa
Usije ukawa Wewe Ni Sirro unataka kututia nyavuni kizembee mzeiyaaGood news nataka niwashilikishe hasa kwa wadau wanaotumia mtandao wa halotel mmeona hapo wadau
Hapa mwenzunu najipatia gb5 za internet kwa gharama nafuu kabisa na nimecheki movies na series za kutosha.
NB: unapata kwanza bando(ninahakikisha umepata kwanza bado) kisha unalipia
0758477251 waweza nipigia,nibip au ntumia meseji
HahNisivyopenda midevu sasa!!! Maybe usingle nao unachangia.
Hii ikoje espyKuna kitu cha good doctor, nimeielewa.
hatari utafikiri maneno 10Huyu political directir ana mbwembwe sijawah ona
daaah we acha tu mkuu,ila katubuJamaa Fletcher japo aligeuka snitch ila kifo chake kimenisikitsha
Kwel kabisa mkuudaaah we acha tu mkuu,ila katubu
Aisee nimecheka sana hii scene, toby nae akamuongezea eti "this has to work right walt"!!!espy kaniacha hoi paige eti Walter if you want see me naked again,you figure this out. ...nimecheka balaa
Halafu ujue wali date kweli wale wameachana mwaka huu..
Hii ikoje espy
Siyo mkenya??Nilisikia akisema kwetu kenya mwanzoni nilidhani ni Lupita au??Jodi smith..sijui muhaya yule. He he he he he hee
Hiyo muhaya was kidding. Ni mjamaicaSiyo mkenya??Nilisikia akisema kwetu kenya mwanzoni nilidhani ni Lupita au??
Hawa watu mie wananiacha hoi sana sana saaaanaaaAisee nimecheka sana hii scene, toby nae akamuongezea eti "this has to work right walt"!!!
Peige nae eti anaona wivu mwanae kuanza kupenda vibinti[emoji23]