Series (Special thread)

Series (Special thread)

Leo j5:
Designated Survivor S02E01
The Blacklist S05E01
kesho:
How To Get Away With Murder S04E01
 
New series: Star Trek Discovery
wametoa episodes mbili so far ila ni nzuri sana.
 
Wadau nimemaliza Salvation S1.. Naomba kitu kingne ambacho ctajutia mb zangu
Kuna siri gan kati ya mdogo wao georgio na dingi yao dr velldek? Au mzee anamtifua mwanae? Maana anamkubali kinoma sijui labda kama dr mwenzake. Nahisi wolf atakuja kumtifua yule sajini wa kikenya aliyesababisha georgio akakamatwa kindezi
Mkuu kama pepa ww una A+
 
Wadau sasa najipanga nianze kucheck hiyo salvation Naona mmeisifia sana

Ila kuna good news nataka niwashilikishe hasa kwa wadau wanaotumia mtandao wa halotel mmeona hapo wadau

Hapa mwenzunu najipatia gb5 za internet kwa gharama nafuu kabisa na nimecheki movies na series za kutosha.

NB: unapata kwanza bando(ninahakikisha umepata kwanza bado) kisha unalipia
0758477251 waweza nipigia,nibip au ntumia meseji
 
Duuuuh!!!
 
Kuna siri gan kati ya mdogo wao georgio na dingi yao dr velldek? Au mzee anamtifua mwanae? Maana anamkubali kinoma sijui labda kama dr mwenzake. Nahisi wolf atakuja kumtifua yule sajini wa kikenya aliyesababisha georgio akakamatwa kindezi
Aiseee wolf atapiga aziama. Maana demu nae anafanya maajabu yule. Hatariiii
 
KAMA WEWE NI MKALI WA TV SHOW NANI ALISEMA HIVI NA NI KATIKA SEASON GANI
"""""""Scofield and his whole PI crew, they’re escaping"""""""""
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom