Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kitambo sana Yaani...si tulikuwa tunaichek eatv home..nilikuwa naipenda balaa
Mlikuwa na TV?..
Minlikuwa nacheki kwa mwanangu mmoja hivi wao walikuwa wa kisure nini..na tamthiria moja inaitwa It might be you..wafilipino..ahh kitambo sana...
So the unity bado inaendelea??..
 
Mlikuwa na TV?..
Minlikuwa nacheki kwa mwanangu mmoja hivi wao walikuwa wa kisure nini..na tamthiria moja inaitwa It might be you..wafilipino..ahh kitambo sana...
So the unity bado inaendelea??..
Iendelee wapi!!? Nilikuwa nachek home ndio,enzi hizo star TV kuna it might be you huku TBC1 kuna the promise
 
cec136b4cd8d5138f7f1e4c139f76e20.jpg


Picha yangu bora kwa mwaka huu,,wanaonekana hata nje ya camera wanapendana japo sio wapenzi,,wametofautiana siku moja tu ya kuzaliwa,,wamekua waigizaji bora kabsa ambao toka season 1-5 hawajawah kugombana baada ya kuwa wapenzi.. Raha sana
Ukitaka msigombane katika mahuiano ni lazima mmoja ajifanye mpumbavu kwaajili ya mwenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom