NzuriKwa alieangalia the arrangement anitonye iko vizuri au ntapoteza tu MB zangu
Ni moto mkuuAisee umenikumbush hii kitu aisee
Ni kali vibaya mno aisee fanya uzicheki.Kwa wale tuliofanikiwa kuchek episode mbili za mwanzo za last ship tutoe mrejesho kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nshazichek siku ile ile kiongoz sema nimekubali sana kwenda kuchezea arabun najua mziki wake sio was kitotoNi kali vibaya mno aisee fanya uzicheki.
latest edition
Game of throne season 7 unayoKuna mzigo unaitwa Too close to Home ... atarii!! pia
Game of Thrones
Quantico
Blindspot
Tyrant
Empire
Prison break
Game of throne s7 unayo?!Kuna mzigo unaitwa Too close to Home ... atarii!! pia
Game of Thrones
Quantico
Blindspot
Tyrant
Empire
Prison break
Kuna mzigo unaitwa Too close to Home ... atarii!! pia
Game of Thrones
Quantico
Blindspot
Tyrant
Empire
Prison break
Jaribu hii www.todaytvseries.comMsaaada jamani ...kama kuna mbadala WA kudownload series tofauti na 02tvseries.com naona kama wameifunga vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu eztv.comMsaaada jamani ...kama kuna mbadala WA kudownload series tofauti na 02tvseries.com naona kama wameifunga vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Jarib nymeriatv.com
Ki ukweli wenzetu wamejaaliwa kuwa na ubunifu wa hali ya juu sana katika kutoa burudani kwa kuhakikisha anakamata hisia zako pale unapokuwa unatizama kazi zao. Wanafanya vizuri sana na hii ikichangiwa pia na tekinolojia waliyo nayo kuwa juu.<br />Kwangu mimi naona USA iko juu sana katika utoaji wa Movies and Tv Series (kusema hivi simaanishi kuwa wengine hawatoi kazi nzuri, lahasha!! Wanatoa kazi nzuri ila USA is the best)Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
Hizo ni baadhi tu..
UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.
1.The last kingdom
2.Narcos
3.Quantico
4.blindspot
5.the bastard executioner
6.limitless
7. jessica jones
8.the returned
9.Tyrat
10.Power
Kuna baadhi ya series hawajaweka humuJarib nymeriatv.com