NakazaJR
Senior Member
- Sep 3, 2015
- 116
- 74
Yah wamesema ni limited series so maana yake ni kuna uwezekano wa kurudi season 6 au kuishia pale ep9 season 5Imeshaisha...! Hapa tuombe irudi season 6 manake hawa jamaa hawaaminiki!!
Yah wamesema ni limited series so maana yake ni kuna uwezekano wa kurudi season 6 au kuishia pale ep9 season 5Imeshaisha...! Hapa tuombe irudi season 6 manake hawa jamaa hawaaminiki!!
Mkuu cheki hapa Movies, Movies , Series, vitabu, na Documentary.Wadau kwa Dar wapi wanauza hizi series ambazo hazijatafasiriwa
Sahihi kwa 101% na ndio maana nimesema jamaa hawaaminiki; kwahiyo tuombe irudi season 6.Yah wamesema ni limited series so maana yake ni kuna uwezekano wa kurudi season 6 au kuishia pale ep9 season 5
Kutana na Maggie Q nimeshaimaliza nasubiri season 2Nimeanza kuangalia designated Survivor Jumamosi, sasa nipo episode 16. One of the best. Story yake imetulia sana
Ukisema mastermind wa prison break Tbag namweka mwisho, wapo watu waliokua focused sio tbag.... Tbag mdandiaji na sio mtu wa principles, hana plans mambo yake ni coincidental tuUkiizungumzia Prison break unamzungumzia Tbag. Huyu ndio alikuwa mastermind wa kila kitu, vitu vingi alivyofanikiwa Michael kulikuwa na uwepo wake.
Sure ,mahone kwa michael anasubiri hata michael alimwambia mahone every time you come close i win, mahone akamwambia the difference is you cant kill but mwishowe ni kweli kila mara mahone alikua akikalishwame nadhani michael ni genius zaid ya mahone kwa fact moja tu ..,walipokua sona mahone alitulia na akamtegemea mike kumtorosha
Then remember mahone is proffessional so lazima ajue, michael is more genius, just structural engineer but he managed to outsmart every guy infront of him on all terror situationsKtk Prison Break Mahone alikua gunius kuliko Michael sema kwa vile story inamuhusu michael unaweza usiione hii,,angalia Mohone alivyokua anagundua kila kitu Michael anachokifanya,angalia alivyokua anasoma codes viambata,,angalia alivyokua anajua lengo lao ni lipi haswa,,mpka michael akaona huyu yupo mbele yao hatua moja na akaja na mbinu ya kwenda kwa familia yake,,bt kwangu Mahone anapata 51%ndio ule usemi usijisifie una mbio bila kukumbuka anaekukimbiza.
24,24legacy&prison break the favouritesUkwel n kwamba prison break ni motoo sasa hivi sijui this idea ya kuchagua location ya waarab wameitolea wapi they are far from better I think they are the best
Mamii tukisubiri series zetu pendwa ziendelee, kuna kitu cha DAY TIME DIVAS hebu kicheki.Ni nzuri Sana mkuu. Maana Nilikuwa naitumia terrarium TV lakini ilikuwa ina crush down mpaka nikawa nakosa amani. Nimepata mbadala
Nimeona tu ipo ktk list ya vitu vipya. Nipe habari yakeMamii tukisubiri series zetu pendwa ziendelee, kuna kitu cha DAY TIME DIVAS hebu kicheki.
Hapana Marvel hawajatoa Into the badlands tena Iron first bado sana kwa Into the badlands.Pakua Iron fist ndio naendelea nayo ipo poa kuna martial art pia imetengenezwa na Marvel kampuni ambayo imetoa Into the badland. Enjoy
Mkuu mi natumia u torrent sipati into the badlandHapana Marvel hawajatoa Into the badlands tena Iron first bado sana kwa Into the badlands.
Mie nimeipenda kwakweli.Nimeona tu ipo ktk list ya vitu vipya. Nipe habari yake
I search kwa Isohunt.to/Pirate BayMkuu mi natumia u torrent sipati into the badland
Mkuu mi natumia u torrent sipati into the badland
Ukitaka kupata series yoyote kwa urahisi ww search kwenye gugo yako kwa kuandika index of series likifuatiwa na jina la series
Mfano
Index of /mersad/serial/Into the Badlands/Into the Badlands/
Index of /Serial/Breaking Bad/
Index of /serial/Prison Break/
Ivyo yan ni rahusi kuliko kutumia torrent izo
NipeKwenye Series za Action Akuna zaidi ya Strike Back kwangu mimi ndio Best kabisa
website nzuri ya kuidownload hii strike back maana kwenye website ya tvshows4mobile hakuna kabisa mkuu.