Series (Special thread)

Series (Special thread)

seth lazima umuelewe tu kama unamfahamu. ijapokua ni muoga sana lakini anaonekana ni mtu hodari. halafu ni mshauri mzuri tu. Hata mimi imenibidi nimuige katika maongezi yangu
Ha ha ha ha. Seth ni balaa.
Alinichekesha alivyokuwa anatapika kwenye airforce despite mbwembwe zote zile za selfie na nini..
Emily nae ni jembe haswaaa. Aisee naipenda designated survivor, hannah nae ananikosha na machale kundesa yake, ana akiki yuke demu balaa
 
vikings wameishia season 2 ... natamani waendelee

..

my fav

vampire diarries
the orignals
grays anatomy
vikings
house MD
Viking imeishia season 4 mkuu season 4 INA episode 20 tafuta uone Ragnar lothbrok alivyouwaba na baadae watoto wake ku avenge iifo cha dingo yao
 
Ndio naichek season 3 aseeh tam sana kwa kwel,sijui nlichelewa wp kuipakua
Ha ha ha ha haaa.
Salimia watoto wazuri wenzangu Alisha na Kara.
Waiting for the season 4 and wamepata order ya season 5 itakayotoka mwakani.
 
e2897372a8cf4ed593f380785c44a2a6.jpg

Ndo nipo napakua hapa hii designated survior vp itakuwa nzur kabla cjachoma bando langu sana

Mkuu app gani hii ya kupakulia?
 
Kuna suits inaendelea tarehe 12. Na kuna mpya yaitwa fearless.. ni nzuri pia

Edit:
Imeandikwa na patrick Harbinson. Jamaa aleyeandika homeland na 24.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom