asaprichie
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 297
- 238
unachanganya madesa.... REDDINGTON ni deserter / rogue psy agent.... ni jasusi aliyeasi na kwa kuasi kwake amepiga double agent na mashirika mbali mbali ya kijasusi na ya covrt black opps ( vikosi vya siri ) na magaidi wengi na anatumika kama source of intell sasa sijui unaanzaje kumlinganisha na drugdealer .... hivi mnaangaliaga tuuuuu au mnaangalia na kuzielewa!!!!
wewe ndo umechanganya madesaa kwasbbu umeingia ndani zaidi....unapolinganisha tabia za watu wawili tofaut hatuangalia uyu ni nani na ana fanya nini...una angalia ana nafas gani katika series ww maelezo yko umeingia deep bila kusoma comment ya juu nlijibu mshkaj ilikua inahusu nini....mimi nilichoangalia nimeangalia kila mtu katika nafasi yake amefanya mambo gn ndmn nikasema drug dealer hajafanya mambo makubwa sn kwny ile movie kias cha kusema kua ni mtu hatari...rudia upya kusoma post ya jamaa utaelewa maana dzain km umedandia mwendo kasi kwny kituo cha daladala