WirelessBrain
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 980
- 1,351
Walivyomtoaga john porter(richard amritage) na series ikawa kwishnei.
Hujamuangalia vizuri Scott baba
Walivyomtoaga john porter(richard amritage) na series ikawa kwishnei.
ikianza unitag
Hata mie mkuu.Natanguliza shukrani zangu
Usiache kunitag mkuu
Mwenye hii series popote ndani ya Dsm anambie niimfuate nicopy aiseee!!
Nikiipata yote ntashukuru sana mkuu! Maana mie niliishia ile ya South Africa! Ila niliipenda sana ile series tangu mwanzo ikiwa na Porter.Ipo yote mkuu, unataka season gani?
Nikiipata yote ntashukuru sana mkuu! Maana mie niliishia ile ya South Africa! Ila niliipenda sana ile series tangu mwanzo ikiwa na Porter.
Wapatikana wapi mkuu nikufuate??
Daaa ninayoo mwana km ungekuwa dom ningekupa in fast npo udom infactWadau naomben link ya kudownload series inaitwa the 'a fist within four wall'
Sure... walimuondoa mapema sana kuliko ilivyotarajiwa!!! Hata hivyo, mimi bado naifuatilia!Aisee wamemwondoa mapema sana sasa basi na stop ngoja niitafute blacklist sasa...
Nipo Ukonga kiongozi. Lini unaweza ukawa unapatikana au tunakutana wapi? Ukubwa wake yote ni GB ngapi??Niko Ubungo Msewe mkuu, wewe je?
Nipo Ukonga kiongozi. Lini unaweza ukawa unapatikana au tunakutana wapi? Ukubwa wake yote ni GB ngapi??
yaani bila ya mtaalamu SULLIVAN STAPLETON bado haijanoga.. huyu jamaa ni shidaaaaa, yuko na blindspot saivi bado na tabia zake zile zile za totoz




miongoni mwa best movies, naanzaje sasa kuacha kuangalia etiiii.... ile kazi ni shiiidaaahHahaha unaangalia Blindspot![]()
miongoni mwa best movies, naanzaje sasa kuacha kuangalia etiiii.... ile kazi ni shiiidaaah
huyu jamaa sullivan ni mwishoNilijaribu kuangalia na Player ya Phillip Winchester ila sikumwelewa kama Sullivan... Nikaitema!
mkuu napataje hiyo blindspot, nifanyie mpango!!!yaani bila ya mtaalamu SULLIVAN STAPLETON bado haijanoga.. huyu jamaa ni shidaaaaa, yuko na blindspot saivi bado na tabia zake zile zile za totoz
TODAYTVSERIES.COM, kuanzia blindspot na series nyingine zote za ukweli na latest utazipata hapo in good quality.. ukishafungua jst tumia search button at the top rightmkuu napataje hiyo blindspot, nifanyie mpango!!!
Mwenye hii series popote ndani ya Dsm anambie niimfuate nicopy aiseee!![/
Mzigo hatari sana huu..
Profile Picture yako Wireless Brain...ni ya Bwana Yule wa Banshee sikoseiii.Daah imenikumbusha Bwan Job..Worry out niqqaz, mwenyewe naisubiri hiyohiyo tu