leonardo da vinc
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 1,108
- 735
Iko poa mkuu but Mimi niliishia season oneKuna mtu ameshaangalia Hawaii Five -0 plz anisaidie kama nikali niipakue
Iko poa mkuu but Mimi niliishia season oneKuna mtu ameshaangalia Hawaii Five -0 plz anisaidie kama nikali niipakue
Poa sana,,Iko poa mkuu but Mimi niliishia season one
Search iTvshare channel na Tv updatesnaombeni telegram channel za mov na series
Mkuu into the badland hapo ndio naona nzuri kuzidi zote,yani huwa natamani isiisheKwa sasa na angalia
Taken
Into the badlands
Designated survivor
24 legacy
Shots fired
The arrangement
Rogue
Terreriam mbona ina option nyingi mno za size ya mb unayo taka.Rafiki nilifanikiwa. Asante na nafurahia shows. Nisaidiwe jambo lingine, hivi kupunguza size ya movie/MB ziwe chache nafanyaje? Maana movie ya MaGB so costifu
Leo nilipitia pitia series ambazo waluzicancel nikakutana na na agent X ya sharone stone na jades aisee kumbe ilikua balaa kbsa
Niliangaliaga, haiko vzr na ni old. Sijui kama ishatoka mpyaKuna mtu ameshaangalia Hawaii Five -0 plz anisaidie kama nikali niipakue
Hapo kwenye scorpion umenikuna. Na nasikia ishatoka order ya season 4 then hii s3 itatoka mpaka epis25Hizo ndiyo series nilizifuatilia na ninazofatilia
the Vampire diaries /imeisha
the walking dead s7
the original s3
last ship s3
Arrow s5
24 /imeisha
under the doom
prison break /imeisha
the fash s3
scorpion s3
Designated survivor ndo the best ina story nzuri sanaMkuu into the badland hapo ndio naona nzuri kuzidi zote,yani huwa natamani isiishe
Sure Ilikuwa nzuri sana nilikuwa naendelea nayo mubashara mpaka ilipositishwaLeo nilipitia pitia series ambazo waluzicancel nikakutana na na agent X ya sharone stone na jades aisee kumbe ilikua balaa kbsa
Kwel bhana,,,sijui kwa nn waliikatilia mbali,,Sure Ilikuwa nzuri sana nilikuwa naendelea nayo mubashara mpaka ilipositishwa
Rebeccanimekosa siries ya kuangalia baada ya kumaliza banshee
Rebeca bowman mkali sana jina lake halisi anaitwa lil saimonRebecca
Ile series tamu sana.....Rebeca bowman mkali sana jina lake halisi anaitwa lil saimon
Yes mkono mkonoIle series tamu sana.....