geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,227
Hiki chuma cha nyuma ya tbag cha kuitwa sancho kilitaka kumla nyama theodore bagwell kumbe tbag akili kubwaKama kawa my first and top TV show prison break sasa maandalizi Ya season 5 yameisha stay tuned bonge la season soon will be released
Jamani nimeona kionjo chake but mpaka sasa sijajua ratiba za kuwa hewani......Hii haijapataga mpinzani
Haya ni baazi ya matukio ktk prison break katika picha.
View attachment 400982View attachment 400984View attachment 400985View attachment 400986View attachment 400987View attachment 400989View attachment 400990View attachment 400992View attachment 400993View attachment 400995View attachment 400997View attachment 401000View attachment 401002View attachment 401004View attachment 401005View attachment 401006
Ndio yyHiv huyu demu aliecheza super girl ndie yule yule kwenye Arrow ambae anacheza kama IT girl???
Tyrant walishai cancel mkuuPower
Tyrant
Prison Break
Vampire diaries
The 100
Empire
Gang
Lost (sio sana)
Mi pia naamini hivyo!Hiyo ni nomaaa..ukiitoa breaking bad hakuna series kama GOT chini ya jua
Breaking Bad ni bonge la series lakini GoT, mnh!! Nalazimika tu kuiangalia GoT kwa sababu ya shughuli ninazofanya vinginevyo, huwa napata taabu sana ingawaje wengi wanaikubali!!Hiyo ni nomaaa..ukiitoa breaking bad hakuna series kama GOT chini ya jua
mzee better call saul ni my favorite sana now imerud s3 nasubiri kidg niianzeBreaking Bad ni bonge la series lakini GoT, mnh!! Nalazimika tu kuiangalia GoT kwa sababu ya shughuli ninazofanya vinginevyo, huwa napata taabu sana ingawaje wengi wanaikubali!!
Hata Better Call Saul ambayo ni spinoff ya Breaking Bad nayo ni bonge la series!! Kama hujawahi kuiangalia, inamuhusu yule mwanasheria mjanja mjanja wa Breaking Bad, Saul!!
Lete mrejesho ndugu leo si ndio siku yenyewe za kupeana mrejesho wametoroka au lahSeason 5 episod 4 inayotoka jumanne usiku mnene jamaa wamesepa usipoamin utakuja hapa kuthibitisha,,
Leta mrejesho tulikubaliana tutarud tena baada ya jukuambia wametoka tuprane updatesMmmnh mwenzetu wewe umeangalia season ya ngapi hiyo ambayo michael kafanikiwa kutoroka?
Ila ndio ajifunze mchongo ukiwa na wapambe wengi yale ndio madhara yake, hapo afanye trick aliyofanya kwenye gereza la sona kuwa ingiza chaka wenzie kisha yeye na asepe kwa njia nyingine. Na inaonesha dhahiri ile ni mara ya pili michael anajaribu kutoroka kwenye gereza la yemen.
Ni watu wawili tofauti mkuu.. Supergil jina lake halisi anaitwa Melissa Benoist na felicity anaitwa Emily RichardNdio yy
Owk,,ila wamefanana kimtindo flan hiv na jinsi wanavyofanya kaziNi watu wawili tofauti mkuu.. Supergil jina lake halisi anaitwa Melissa Benoist na felicity anaitwa Emily Richard
Sure, ni bonge la series!! Hata mimi naisubiria episodes ziongezeke na ikibidi, nianze ikishakamilika S03!mzee better call saul ni my favorite sana now imerud s3 nasubiri kidg niianze
jamaa janja sana me lile gar lake s1 lilikua lanichekesha sanaSure, ni bonge la series!! Hata mimi naisubiria episodes ziongezeke na ikibidi, nianze ikishakamilika S03!
Movie tu elfu 50,000???Quantico
The Originals
The 100
Marvel Iron fist
The Blacklist
The blacklist redemption
The flash
Tomorrow people
Legends of tomorrow
Gotham
Macgyver
Lethal weapon
Scorpion
Game of thrones
Shooter
Under the domes
Falling skies
Na zakikorea pia
Kma upo dsm,,tafuta external hdd iwe na free space kma ya 100 gb,,,ntakuwekea vitu vya ukweli,,hutojuta...
Kwa Tsh.50,000/= Tu.
Ni dm kma ukihitaji
Saul nilimkubali tangu akiwa Breaking Bad... jamaa anajua!! Na hata ukimwangalia mwandaaji wa hizi shows mbili; Vince Gilligan... huwa hakosei!!!jamaa janja sana me lile gar lake s1 lilikua lanichekesha sana
Yes!! i know. i checked mpaka season 3 but ilikuwa poa sana.Tyrant walishai cancel mkuu
Ngoja nkaanze kudownload.Hii nasubiri ikamilike niiangalie yote. At the moment naangalia American Odyssey, ni nzuri pia, mambo ya conspiracies.