Season 5 episode 5Mmmnh mwenzetu wewe umeangalia season ya ngapi hiyo ambayo michael kafanikiwa kutoroka?
Ila ndio ajifunze mchongo ukiwa na wapambe wengi yale ndio madhara yake, hapo afanye trick aliyofanya kwenye gereza la sona kuwa ingiza chaka wenzie kisha yeye na asepe kwa njia nyingine. Na inaonesha dhahiri ile ni mara ya pili michael anajaribu kutoroka kwenye gereza la yemen.
Tunaipata vipi hii mkuu?Season 5 episode 5
Hiyo ni nomaaa..ukiitoa breaking bad hakuna series kama GOT chini ya juaHiyo game of thrones wengi wanasifu ila niliangalia pale mwanzoni tu nikaona itaniboa tu
Mkuu hizo ni trailer za episode zijazo.Tunaipata vipi hii mkuu?
Mpka j4 usiku wa mananeTunaipata vipi hii mkuu?
Upo serious kwel au unatania???Hiyo ni nomaaa..ukiitoa breaking bad hakuna series kama GOT chini ya jua
Huu mzigo the blacklist nilishusha wote ikawa bado kuu cheki tu, duuh nikaifuta bahati mbaya kwenye pc na kwenye recycle bin, nimesha tafuta software za ku recover nyingi ni za kulipia.
Hyu hatokuwepo mkuu cos aliignore kuplay same character but kama altabadilishiwa characters he might be in.
Mmh.. Felicity? Si dhani kama ni yeye ila sina uhakika.. Sioni kama wanafanana..Hiv huyu demu aliecheza super girl ndie yule yule kwenye Arrow ambae anacheza kama IT girl???
Hebu waangalie tena vzur ndugu naona wamefanana sana hata style ya kuongea inafananaMmh.. Felicity? Si dhani kama ni yeye ila sina uhakika.. Sioni kama wanafanana..
Nope.. Ni watu wawili tofauti.. Jaribu hata kusearch google tu utaona ni actors tofautiHebu waangalie tena vzur ndugu naona wamefanana sana hata style ya kuongea inafanana
mkuu ungetumia disk getor ambayo iko na crack zake kabsa hii hatari sana yan moto ata uwe umebadilisha window 8 kwenda 7 na ukaformat vya rud lazmaHuu mzigo the blacklist nilishusha wote ikawa bado kuu cheki tu, duuh nikaifuta bahati mbaya kwenye pc na kwenye recycle bin, nimesha tafuta software za ku recover nyingi ni za kulipia.