SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,990
- 2,669
Mbona umekomaa sana ndugu kwani kuna alie kulazimisha uangalie, na ushoga wa michael ni nje ya prison break, huwez linganisha naushoga wa kwenye empire.Ndio..starring ndezi,aaqhka. Mwisho nikaanza kuwa fun wa kina kaoge na James delicious, sitakiii kabisa hayo. Hata sitaiangalia kuna series nyingi na ni nzuri tu,nitakomaa nazo hiyo prison break I give it a break![]()
