Yule anko bwana kazi yake mzee wa story ila yuko vizuri sanaKuna kilindi ilkuwa inaonyeshwa tv1.. Namkubali zaidi uncle na kenan
Daah umeielewa kinomaa.May contain spoilers..
Pindi episode 1 inaanza... michael alisema..
"But the dead talk,if you listen. They're just there with you, reaching out, trying to tell you something."
At the exact moment anaposema, "But the dead talk" tunaoneshwa drain chini ya mailbox ya sara.
![]()
Michael alikuwa anamtumia sara origami lakini kuna mtu alikuwa anazidrain ili zisimfikie sara. Of course ni mume wake sara. Ndo maana yule manzi alimshoot kwene mguu ila hakummalizia..
Halafu ni kwanin Sara na bro wanatafutwa ili wauwawe??May contain spoilers..
Pindi episode 1 inaanza... michael alisema..
"But the dead talk,if you listen. They're just there with you, reaching out, trying to tell you something."
At the exact moment anaposema, "But the dead talk" tunaoneshwa drain chini ya mailbox ya sara.
![]()
Michael alikuwa anamtumia sara origami lakini kuna mtu alikuwa anazidrain ili zisimfikie sara. Of course ni mume wake sara. Ndo maana yule manzi alimshoot kwene mguu ila hakummalizia..
Ddaaaah ata me nmejiuliza sana kuhusu T bag. ..labda me nkahisi yule dokta anafanya project yake ndo aka amua kujaribu kwa mchiz. Ila kitu kinaendelea. Mbaya zaid maiko alizikwa kabisa but kwenye kaburi ni nguo tu ...daaah wameanza vizuri sana ...wametishaaaUmefikiria mbali. Kwa muuaji makini hatakiwi kuacha alama ila Yule bi Dada alimuacha mumewe Sarah after leg shot.
This series has lot of secrets. Pia T-Bag kufanyiwa replacement free ya advanced mkono has a lot of questions. Waliolipia such a costful project ni akina nani?
Organization ya Franklin aloingia ya Muslims nayo kama ina utata....
Tuendelee kuwemo!!
mambo mremboAcha uchoyo,huna kaa kimya![]()
Nimeshapata zote kama nilivyokuwa nahitaji tena free.
Nakutakia biashara njema mkuu.

banshee inahusu nn??Pole sana yaani zilipendwa hizo kuna mpya nyingi nzuri kiasi kwamba hutakiwi kupoteza muda na hizo tens
Banshee
Queen of the south
If loving you is wrong
The 100 unayo mpaka season ngap? Season4 nimeishiaMoto Ni The 100
Narcos iko poa sana mkuuMkuu hiyo banshee si zilipendwa pia mana imeshaisha
Sasa hivi mwendo wa NARCOS Season 2
Mie niko selective sana mkuu, movies zenye CGI nyingi sipendi, napendaga sana almost reality.....sasa hivi nafatilia DESIGNATED SURVIVORNarcos iko poa sana mkuu
NARCOS (2 SEASON 20 EPISODES)
SHOOTER (2 SEASON 20EPISODES)
LEGENDS (2 SEASON 20 EPISODES)
LUKE CAGE (SINGLE SEASON 13 EPISODES)
SIX (SINGLE SEASON 8 EPISODES)
24 LEGACY
ZITAFUTE UKIPATA NAFASI
Ina episodes ngapi complete?Mie niko selective sana mkuu, movies zenye CGI nyingi sipendi, napendaga sana almost reality.....sasa hivi nafatilia DESIGNATED SURVIVOR
15Ina episodes ngapi complete?
Ni single season?
NdioUnaweza kudownload zote hizo kwenye o2series ni rahis