Bila shuka
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 596
- 296
Mpya ya Bashite iko mtaani nayo
Angalia pia the mob doctor....chicago med na code black
michael ame act hawajui wale ili mambo yake yasome si unaona alinyanyua mikono ili waone ile alama wa kwenye kiganja na wakat anasepa alifumba macho kama anaumia kumlia bati kaka yake ....michael ni mzee wa chezo sana ..,nobody suckerDaaaah iko poa sana, Michael inaelekea kala msoto wa maana hadi kumbukumbu hana...
Next episode lini wakuu?
May contain spoilers..michael ame act hawajui wale ili mambo yake yasome si unaona alinyanyua mikono ili waone ile alama wa kwenye kiganja na wakat anasepa alifumba macho kama anaumia kumlia bati kaka yake ....michael ni mzee wa chezo sana ..,nobody sucker
lets check episode 2 hope tutapata majibu ...,afu sikuwaza kabsa ishu ya mume wake sara kwamba anahusika ..now naona posibility iyoMay contain spoilers..
Pindi episode 1 inaanza... michael alisema..
"But the dead talk,if you listen. They're just there with you, reaching out, trying to tell you something."
At the exact moment anaposema, "But the dead talk" tunaoneshwa drain chini ya mailbox ya sara.
![]()
Michael alikuwa anamtumia sara origami lakini kuna mtu alikuwa anazidrain ili zisimfikie sara. Of course ni mume wake sara. Ndo maana yule manzi alimshoot kwene mguu ila hakummalizia..
Umefikiria mbali. Kwa muuaji makini hatakiwi kuacha alama ila Yule bi Dada alimuacha mumewe Sarah after leg shot.May contain spoilers..
Pindi episode 1 inaanza... michael alisema..
"But the dead talk,if you listen. They're just there with you, reaching out, trying to tell you something."
At the exact moment anaposema, "But the dead talk" tunaoneshwa drain chini ya mailbox ya sara.
![]()
Michael alikuwa anamtumia sara origami lakini kuna mtu alikuwa anazidrain ili zisimfikie sara. Of course ni mume wake sara. Ndo maana yule manzi alimshoot kwene mguu ila hakummalizia..
Kweli mkuu.. michael did cut a deal to work undercover kwene ilo gereza.. (theory). Jiulize, kwanini sara alitoroka gerezani lakini yupo tu USA anaishi bila tatizo lolote..??Umefikiria mbali. Kwa muuaji makini hatakiwi kuacha alama ila Yule bi Dada alimuacha mumewe Sarah after leg shot.
This series has lot of secrets. Pia T-Bag kufanyiwa replacement free ya advanced mkono has a lot of questions. Waliolipia such a costful project ni akina nani?
Organization ya Franklin aloingia ya Muslims nayo kama ina utata....
Tuendelee kuwemo!!