gifted mind
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 344
- 203
Nipo dar kijitonyamaHabari zenu wakuu? kwa yoyote mwenye moja au zote kati ya series hizi nahitaji tafadhali napatikana DAR eneo KIGAMBONI FERRY pia naweza kufuata kama upo karibu kwa dar.
-prison break (complete)
-Nikita (complete)
-24 (complete)
tuwasiliane 0673428813 au ni PM.
NATANGULIZA SHUKRANI.
Nitafute hapa 0713508447 na series nyingine kibaoooooHiyo if loving u is wrong season 5 ishatoka?nimeishia 4..na kickass washaifungia,NAHAHA TU
Tarehe 11 nmesikiaDaaaah iko poa sana, Michael inaelekea kala msoto wa maana hadi kumbukumbu hana...
Next episode lini wakuu?
Nione hapa whassap 0714508447Wadau kila nikinunua series kariakoo full kusumbua..nyingine haziplay kabisa. Hapa town nitapata wapi zenye uhakika.
Angalia pia the mob doctor....chicago med na code blackNi kweli i really love it na i enjoy it more as am in the same field vipi ushawahi kuangalia scrubs?
Na kwenye breaking bad....Revolution nzuri m namkubali General Monroe
Iliniteka sana hii seriesleverage ni kama burn notice kama uliangalia,kwanza mtindo wao si mwendelezo wa story,kila episode inakuja na tukio na inaisha hapo hapo,kwahiyo episode lingine inakuja na jipya.
Leverage ni kama kundi la watu binafsi ( wapo kama 5) ambalo halijulikani kwa serikali,inafanya mambo yake kivyake kuwasaidia watu ambao wamedhulumiwa,mtu akidhulumiwa hata awe mjanja wao wanakuja kumtapeli halafu mhanga anarudishiwa mali zake na faida juu,maana wao wanatapeli matapeli na wakitapeli lazima tapeli akimbie nchi ili serikali isimkamate,na tapeli wakimfilisi wanamfilisi kweli,kiujumla wanacheza na watu wa kila aina iwe institutions za serikali au binafsi ila mwishoni wakimtapeli tapeli hamna ushahidi unaowafunga,kiujumla wanasaidia wahanga
Inaweza sio kumbukumbu inawezekan alipretend kutowajua kwa sababu zake ktk kutaka ku escape ..si umeona ata tattoo ni nyingine za lile gereza mpaka kiganja cha mkonoTarehe 11 nmesikia
Videos zake zinakuwa na size gani?Kwa wanao hitaji hiyo terrarium tv haipo playstore ingia hapa
Terrarium TV - Best Free HD Movies and TV Shows Android App
Unachagua unavyotaka kuanzia mb 47- gb1.5Videos zake zinakuwa na size gani?
Nimeshapata zote kama nilivyokuwa nahitaji tena free.Nitafute 0713508447....kila season unayobeba ni 1000
Mucha graciousUnachagua unavyotaka kuanzia mb 47- gb1.5
Yeaah may be maana camera zili focus sana kwenye zile tattoo za kiganjani, pia lile jina la michael Schofield ni hatari ndio maana akazingua kuwa sio yeye. Ila ile prison ni zaidi hata ya sona.Inaweza sio kumbukumbu inawezekan alipretend kutowajua kwa sababu zake ktk kutaka ku escape ..si umeona ata tattoo ni nyingine za lile gereza mpaka kiganja cha mkono
Zinaanzia below 100mb hadi above 1gb wewe ndio utachagua.Videos zake zinakuwa na size gani?
Msaada anaejua link ku download series ya Badlands tafadhali
Kwenye suala la movie/series/vitabu kinacho-matter ni contents tu. Naangalia na kusoma mpaka vitu vya 50's... ni mtazamo wangu tu.Mkuu hiyo banshee si zilipendwa pia mana imeshaisha
Sasa hivi mwendo wa NARCOS Season 2
SawaNimeshapata zote kama nilivyokuwa nahitaji tena free.
Nakutakia biashara njema mkuu.