Kuna mtu ameshaangalia lether weapons jaman aniambie kama ipo pouwa nianze ichek mdogo mdogo
Ipo vzr mkuu?nipo episode ya 18..... iko poa
Asante mkuu I get itKwa wanao hitaji hiyo terrarium tv haipo playstore ingia hapa
Terrarium TV - Best Free HD Movies and TV Shows Android App
Ila ya zamani nayo hiyoWameniumiza saana!!! Kwanini walicancell?
Into the bad lands season 2 imetoka jana .nitaipata wap wakuu
Mzuri kiasi chake ukielewa, ila inafanana na series moja TRAINING DAY japo hii TD ni mpya humo ndani kuna partnership ya LAPD wawili kama sikosei (Roger n Rigs)Ipo vzr mkuu?
Mbona sijakuelewa mkuu...ni kwamba unauliza au unasema ?? Maana hiyo movies sio poaInto the badlands season 2 imeanza
Nadhani anatoa taarifa MkuuCjaelewa .....unaulza ?......au......una2taarifu mkuu
Nadhani itakua taarifa Mkuu .Mbona sijakuelewa mkuu...ni kwamba unauliza au unasema ?? Maana hiyo movies sio poa
Cjaifuatilia hebu ngoja leo nipakue angalau episode 3 niaone maana watu wanaisifia snaaHii Into the badlands nikiangalia huwa natamani hata isifike mwisho jinsi ninavyoikubali
Six watu waliisifu huku kumbe kwangu zero tu