Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kwa wale wapenzi wa series kali ya into the badlands season 02 hatimaye imetoka.. Kwa ambao haimkuifatilia season 01 pitia link hapo chini na kwa wale wa seaon 02 kuifatilia pitia hii link pia..
Into the Badlands - O2TvSeries.Com
MV5BNzkyOTcwMTAwMl5BMl5BanBnXkFtZTgwMTk3NzIzMTI@._V1_UX182_CR0,0,182,268_AL_.jpg
AMC_ITB_S1_TAS_106_2.jpg
tumblr_nyckgqgKCe1tbiehgo1_1280.jpg
AMC_ITB_S1_104_Inside_TwoTigersSubdueDragons.jpg
 
Nimeiangalia hapa itakua nzur kwa matokeo ya ep hii ya kwanza,,, Kaniel Outis duuuh balaaa
 
Kuna series inaitwa hostage, imekuwa canceled au inaendelea??
 
Habari zenu wakuu? kwa yoyote mwenye moja au zote kati ya series hizi nahitaji tafadhali napatikana DAR eneo KIGAMBONI FERRY pia naweza kufuata kama upo karibu kwa dar.
-prison break (complete)
-Nikita (complete)
-24 (complete)
tuwasiliane 0673428813 au ni PM.
NATANGULIZA SHUKRANI.
Nitafute 0713508447....kila season unayobeba ni 1000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom