Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mi naona heroes funga kazi ila inaendana kidogo na smallville...

Kuna hii nyingine "stitch" nayo nzuri... Mdada analive maisha ya mtu aliekufa ili kusolve kifo chake!!!
Stitch...naikumbuka hii. Ila niliishia season 1 kwan imeendelea?
 
Mkuu ukigusa hiyo link device yako itakuuliza unataka udawnload kwa browser gani tumia uc browser
Rafiki nilifanikiwa. Asante na nafurahia shows. Nisaidiwe jambo lingine, hivi kupunguza size ya movie/MB ziwe chache nafanyaje? Maana movie ya MaGB so costifu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom