Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,309
Jumba la dhahabu itakufaaNaombeni sirizi nzuri ya kichawi chawi mithili ya merlin wakuu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Jumba la dhahabu itakufaaNaombeni sirizi nzuri ya kichawi chawi mithili ya merlin wakuu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
HajafarikiDa Elizabeth keen amefaliki? Nimeumia sana
Hapo emerald city tuko pamojaYaaa naipakua ado ado kabsa ma kesho ijumaa emerald city kama kawa
Wengi wanakua hawaielew GAME OF THRONES.hii kitu ni noumer pia inahitaji utulivu na umakiniki ukweli hizi series nimezirudia mara mbili tayari na sasa nainza tena game of thronea season 1
Mimi ni mmoja wapo kabsa,,,sielewi kbsaWengi wanakua hawaielew GAME OF THRONES.hii kitu ni noumer pia inahitaji utulivu na umakini
Sio test yako that's y?Mimi ni mmoja wapo kabsa,,,sielewi kbsa
SwadaktaSio test yako that's y?
Hata Mimi hizo ndio bora kabisa kwangu watching rates pia inajielezaKatika series ambazo nimeshawahi kuangalia mpaka sasa, sijawahi kukutana na kama hizi.
Game of thrones
Breaking Bad
Ujaiona 24 mwanzo mwisho ha ha ha we acha kbsa,,,Zilizonivutia mpaka Leo ni Prison Break na Legend of the Seeker.
Sijaipenda. Tunatofautiana kwa kweliUjaiona 24 mwanzo mwisho ha ha ha we acha kbsa,,,
Yaani nishajaribu sanaaa kipindi ambacho nakuwa sina cha kuangalia nikisubiri my favourites ziendelee lkn najikuta nasinzia tu au najikuta niko busy na kitu kingine na kuachana na movie.
Bado sanaaa!!Unakosa mengi sana mana mpaka sasa hakuna series ya kuikimbiza homeland labda prison break ije
Hostly mi pia homeland sio kivileBado sanaaa!!
Kuna shooter,designated survivors,mc,blind spot,quantico nk nk nk
Homeland haijanishawishi bado na sidhani kama itakaa inishawishi.
Shoter INA story nzur Ila naona kama wamecheza kishamba,,hata sound track ni mamidundo ya ajab ajab,yaaan kuna kitu kina miss kwenye ile series.. Angalia designated survivor ilivyokaaa utamu,story tamu,soundtrack znaeleweka,hata wachezaji wanajua nn wanafanya.Bado sanaaa!!
Kuna shooter,designated survivors,mc,blind spot,quantico nk nk nk
Homeland haijanishawishi bado na sidhani kama itakaa inishawishi.
AsanteHajafariki