Series (Special thread)

Series (Special thread)

Shoter INA story nzur Ila naona kama wamecheza kishamba,,hata sound track ni mamidundo ya ajab ajab,yaaan kuna kitu kina miss kwenye ile series.. Angalia designated survivor ilivyokaaa utamu,story tamu,soundtrack znaeleweka,hata wachezaji wanajua nn wanafanya.
Mie naiona iko poa tu.
 
Sure
 
Wadau ngoja niwaludishe nyuma kidogo series za kifilipino mfano Kay tagal kitang hinintay hivi zipo online Kama zipo msaada wa link nimetafuta bila mafanikio
 
kwa mnaofatilia Blindspot mbona wamekatisha ? Wiki hii sijaona watoe ep 13.
 
Kwasasa naangalia;
*the quantico
*empire
*blind spot
*designated survivors
*the catch
*macgyver
*how to get away with murder
*shooter
*jane the virgin
*arrow
*six

Nk nk nk.
zote hizo unaangalia at once.??
hivi how to get away with murder S3 imeishia episode ya 9 au inaendelea zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom