xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,133
- 7,352
Bro mi natumia zaid terrerium tv ipo poa SNA na haina mzunguko mzunguko km nyingine,unachagua ukubwa unaotaka mwenyewe,,nadhan itakufaa sanamkuu umetumia website ipi kudownload msaada tafafhal
Bro mi natumia zaid terrerium tv ipo poa SNA na haina mzunguko mzunguko km nyingine,unachagua ukubwa unaotaka mwenyewe,,nadhan itakufaa sanamkuu umetumia website ipi kudownload msaada tafafhal
ukiona movie yyte ile inaishia season 1 au 2 ujue iyo imebuma wakaitatftia namn ya kuimaliza....ndo ilivo kwa shooterShoter INA story nzur Ila naona kama wamecheza kishamba,,hata sound track ni mamidundo ya ajab ajab,yaaan kuna kitu kina miss kwenye ile series.. Angalia designated survivor ilivyokaaa utamu,story tamu,soundtrack znaeleweka,hata wachezaji wanajua nn wanafanya.
Inawezekana mkuuukiona movie yyte ile inaishia season 1 au 2 ujue iyo imebuma wakaitatftia namn ya kuimaliza....ndo ilivo kwa shooter
Jaribu kugoogle "kissasian" kuna category ya phillipino angalia apo. Ila uwe na IDM kma utadownload.Wadau ngoja niwaludishe nyuma kidogo series za kifilipino mfano Kay tagal kitang hinintay hivi zipo online Kama zipo msaada wa link nimetafuta bila mafanikio
Jaribu kugoogle "kissasian" kuna category ya phillipino angalia apo. Ila uwe na IDM kma utadownload.Wadau ngoja niwaludishe nyuma kidogo series za kifilipino mfano Kay tagal kitang hinintay hivi zipo online Kama zipo msaada wa link nimetafuta bila mafanikio
Jaribu kugoogle "kissasian" kuna category ya phillipino angalia apo. Ila uwe na IDM kma utadownload.
Kuwa mvumilivu goma linachanganya kuanzia episode ya sita chiefNimetizama viking sehem ya kwanza lakni naona kama haijanibariki vile....
Asante mkuuKuwa mvumilivu goma linachanganya kuanzia episode ya sita chief
Jane the virginKwasasa naangalia;
*the quantico
*empire
*blind spot
*designated survivors
*the catch
*macgyver
*how to get away with murder
*shooter
*jane the virgin
*arrow
*six
Nk nk nk.
Yeap!!Jane the virgin
😀😀kifilipino tena.... Miaka kama 8 nyuma ndio nimeangalia sizipendiWadau ngoja niwaludishe nyuma kidogo series za kifilipino mfano Kay tagal kitang hinintay hivi zipo online Kama zipo msaada wa link nimetafuta bila mafanikio
Ukiona movie inaishia season 1!!! mara tena series aseee we jamaaa tushushe kituo cha mbele uendelee na safari yako.ukiona movie yyte ile inaishia season 1 au 2 ujue iyo imebuma wakaitatftia namn ya kuimaliza....ndo ilivo kwa shooter
Priyanka chopra hajawahi kuwa miss world mkuu.. miss world ni mke wa Abishekh batchan..anaitwa Aishwarya rai..Quantico huyu miss world wa 2000 aisee amekua mmarekan kbsa,,halfu kiswahili kimetumika mpka nikajivunia uswahil wetu
Sometym kama hujui kitu ukinyamaza ni vyema zaidi....Priyanka chopra hajawahi kuwa miss world mkuu.. miss world ni mke wa Abishekh batchan..anaitwa Aishwarya rai..
kwn hujaelewa ndgu au unataka kujifny mjuaji tu....apo ni kuchnganya maneno...kikubwa nmeeleweka....series au tv showsUkiona movie inaishia season 1!!! mara tena series aseee we jamaaa tushushe kituo cha mbele uendelee na safari yako.
Aishwarya rai alikua miss world 1994 tena nakumbuka nilikua form 1, huyu priyanka ni miss world 2000 sa hii anaishi americano,ila sikulazmshi mkubwaPriyanka chopra hajawahi kuwa miss world mkuu.. miss world ni mke wa Abishekh batchan..anaitwa Aishwarya rai..
hapanaYeap!!
Unaifahamu?