Series (Special thread)

Series (Special thread)

Shooter naona iko mwake aise... ila kwangu mm homeland bado naipa level za juu sana! Quantico inafuatia ila wamniboa kuipiga pause SE2 e08!
Homeland niliishia season 1, imepooza sana haikunivutia.
Quantico wanakwenda nayo taratibu kweli hadi inaboa sasa.
 
Homeland niliishia season 1, imepooza sana haikunivutia.
Quantico wanakwenda nayo taratibu kweli hadi inaboa sasa.
Ndugu jikaze uendelee na homeland nakuhakikishia utaipenda mbeleni..kuna series mwanzo zimepoa kama breaking bad lakini ni series Kali sana
 
Ndugu jikaze uendelee na homeland nakuhakikishia utaipenda mbeleni..kuna series mwanzo zimepoa kama breaking bad lakini ni series Kali sana
Yaani nishajaribu sanaaa kipindi ambacho nakuwa sina cha kuangalia nikisubiri my favourites ziendelee lkn najikuta nasinzia tu au najikuta niko busy na kitu kingine na kuachana na movie.
 
Yaani nishajaribu sanaaa kipindi ambacho nakuwa sina cha kuangalia nikisubiri my favourites ziendelee lkn najikuta nasinzia tu au najikuta niko busy na kitu kingine na kuachana na movie.
Blindspot au Blacklist jaribu hizo kama hujaangalia
 
  • Thanks
Reactions: 247
Yaani nishajaribu sanaaa kipindi ambacho nakuwa sina cha kuangalia nikisubiri my favourites ziendelee lkn najikuta nasinzia tu au najikuta niko busy na kitu kingine na kuachana na movie.
Lakini inawezekana ikakushinda maana na Mimi ilinishina game of thrones
 
The night of nmechek mpaka e09 je imeendelea au tunasubiri s2?
Nan kaangalia american crime story na bojack horseman zikoje?

Tuambizane best new series kwa mwaka 2016 tukiacha upambe wa imdb na wale wazee wa nyanya rotten tomatoes
 
Zilizotoka 2016

Designated survivor
Shooter
Queen of the south

Zinazoendelea

Into the badlands
Blind spot
The 100
Blacklist
The last ship
 
Hiyoo Queen of the South nmechek e1 haikunivutia labda kama mbele iko poa
 
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.

Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.

Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.

1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead

Hizo ni baadhi tu..

UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.

1.The last kingdom
2.Narcos
3.Quantico
4.blindspot
5.the bastard executioner
6.limitless

7. jessica jones
8.the returned
9.Tyrat
10.Power
Mzee hizo revolution ni hatari,bt nimeishia season one,vp naweza pata season two na zote zilizo Baki ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom