xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,133
- 7,352
Owk,thanx sana, shooter ni ya mwaka gan na hii sixFor now ni
Shooter
Six
Owk,thanx sana, shooter ni ya mwaka gan na hii sixFor now ni
Shooter
Six
Mis you sana ulipotelea wapi?Thanks mpendwa ngoja niitafute.
Shooter ndo imeisha last week season one imeamza 2016Owk,thanx sana, shooter ni ya mwaka gan na hii six
Shooter ni 2016 to present na six ni 2017 mini seriesOwk,thanx sana, shooter ni ya mwaka gan na hii six
Yaani hao watu sijui waliondoka na mafuriko ya wapi!!!Mis you sana ulipotelea wapi?
Wapi
chuma cha reli
Viol
Hiyo haiitaji mrejeshoUtirudishie mrejesho mkuu ukishaichek hata episode mbili tatu
Wapo kwenye break... ni 22 or 23 episodic series kwahiyo bado sana hata hiyo season 1!Hivi hii designated survivor imeishia pale pale episode 10 au inaendelea
Mi naitafuta episode 11 cjaiona kwa simu yangu kbsaWapo kwenye break... ni 22 or 23 episodic series kwahiyo bado sana hata hiyo season 1!
Kama hapatakuwa na mabadiliko, hiyo ya 11 tarajia March mwanzoniMi naitafuta episode 11 cjaiona kwa simu yangu kbsa
Mi naitafuta episode 11 cjaiona kwa simu yangu kbsa
Cheki blindspot,24Mi napenda za kipelelez na jins wanavyoweza kuwakamata wahalifu,,, designated survivor aaaaah Kali sna
Blind spot nshaiona,,24 ya muda sana ishapitwa japo nliangalia mpka season 8 au 9 kama sikoseiCheki blindspot,24
Eti six ndio ndio hii ipo episode ya kwanza?Mis you sana ulipotelea wapi?
Wapi
chuma cha reli
Viol
NdioEti six ndio ndio hii ipo episode ya kwanza?
Blind spot nshaiona,,24 ya muda sana ishapitwa japo nliangalia mpka season 8 au 9 kama sikosei
Nashukuru, kwakweli ni nzuri, mwanzo tu unaonekana itakuwa boonge la series.Ndio
Mkuu,Wakuu nina shida na Empire season 4
hiyo ilinishinda yale mambo ya kichoko, ila nadhan wanao ifatilia watakupa muongozo.Sawa,episode 13 imetoka juz so naichek chekBlindspot inaendelea ww