Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Jirani hiyo sijaipataAisee nmefurahi sana Tanzania kwa mara ya kwanza wazungu wanaactia hapa tena series kali kama SIX, ngoja nisubiri ep2 labda nitaiona kariakoo
Jirani hiyo sijaipataAisee nmefurahi sana Tanzania kwa mara ya kwanza wazungu wanaactia hapa tena series kali kama SIX, ngoja nisubiri ep2 labda nitaiona kariakoo
Nipe link ya six jiraniShooter ni 2016 to present na six ni 2017 mini series
Nikutumie link jirani ngoma kali sanaJirani hiyo sijaipata
Nshakuomba link kitambo jiraniNikutumie link jirani ngoma kali sana
Check pmNipe link ya six jirani
Nilichelewa kuingia huku jirani so sorryNshakuomba link kitambo jirani
Asante jirani nimepataNilichelewa kuingia huku jirani so sorry
Mkuu ili maandiko yatimie history inasema hivyo VIKINGS walikuwa ni makatili sana... Ivar The Boneless KATILI viking kuwahi kutokea... Bjorn The Ironside... Alikuwa ni KATILI mtulivu.... Jaribu ku Google hata mtungaji alilalamikiwa kwa nini amemuua Ragnar... Akasema main character ni Ivar the Boneless.... Na kuhusu ukatili.. Nahisi unasemea hii adhabu ya kutanua mbavu wenyewe vikings wanajua "DRAGON WINGS"...! Ragnar alishawahi kumtia adhabu season 1 jamaa alitaka kumpindua.... Kwa dunia ya sasa vikings waliishi SCANDNAVIA... SWEDEN, NORWAY NA DENMARK....Kama una roho nyepesi huwezi angalia Vikings.hiyo season 4 ep18 ukatili mtupu
Ya season ya kwanza niliona aisee ila hii ya sasa imekaa vibaya.kufa ragnar naona kama itapoa sana.mana nilikua napenda mbwembwe za ragnar pemben fluki cheko lake kama la nyaniMkuu ili maandiko yatimie history inasema hivyo VIKINGS walikuwa ni makatili sana... Ivar The Boneless KATILI viking kuwahi kutokea... Bjorn The Ironside... Alikuwa ni KATILI mtulivu.... Jaribu ku Google hata mtungaji alilalamikiwa kwa nini amemuua Ragnar... Akasema main character ni Ivar the Boneless.... Na kuhusu ukatili.. Nahisi unasemea hii adhabu ya kutanua mbavu wenyewe vikings wanajua "DRAGON WINGS"...! Ragnar alishawahi kumtia adhabu season 1 jamaa alitaka kumpindua.... Kwa dunia ya sasa vikings waliishi SCANDNAVIA... SWEDEN, NORWAY NA DENMARK....
Since nimesikia Ragnar kafa midadi ya kuangalia imetulia ila niligues huyu Ivar nimkatili sana.Mkuu ili maandiko yatimie history inasema hivyo VIKINGS walikuwa ni makatili sana... Ivar The Boneless KATILI viking kuwahi kutokea... Bjorn The Ironside... Alikuwa ni KATILI mtulivu.... Jaribu ku Google hata mtungaji alilalamikiwa kwa nini amemuua Ragnar... Akasema main character ni Ivar the Boneless.... Na kuhusu ukatili.. Nahisi unasemea hii adhabu ya kutanua mbavu wenyewe vikings wanajua "DRAGON WINGS"...! Ragnar alishawahi kumtia adhabu season 1 jamaa alitaka kumpindua.... Kwa dunia ya sasa vikings waliishi SCANDNAVIA... SWEDEN, NORWAY NA DENMARK....
Asante mkuu, umetusaidia na wengineJaribu kutumia terrarium TV itakuwepo lazima pale. Application rahis zadi kudownloud movie and series.
Wamepoz kwanzawapi designated survivor
Katika hizi series ulizozitaja, ipi ni ya mkono (action)??? Yaani kama ilivyo Arrow vile ya Oliver Queen.Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
Hizo ni baadhi tu..
UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.
1.The last kingdom
2.Narcos
3.Quantico
4.blindspot
5.the bastard executioner
6.limitless
7. jessica jones
8.the returned
9.Tyrat
10.Power
Zote Kali namba moja mpka 6 hizo kuanzia saba cjaziona kwa kwel,,Quantico inastory nzur kwa kwelKatika hizi series ulizozitaja, ipi ni ya mkono (action)??? Yaani kama ilivyo Arrow vile ya Oliver Queen.
Manake sie wengine series za story tupu hatuziwezi
Yaaa naipakua ado ado kabsa ma kesho ijumaa emerald city kama kawaSix episode 2 tayari
Vikings(king ragna) vs game of thrones(john snow)
Yaani hizi kitu ni moto wa kuotea mbali.hapa lazizi anataka nimshauri anze kuangalia ipi.nimeshindwa mshauri mana zote ni noumer