Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mkuu unaweza nisaidia hizi SERIES MOVIE nitazipata wapi mkuu?
1)THE VICTORY 2 hii ya wachina vs wajapani
2)THE HUNTER hii ngoma nayo ya wachina na wajapana kuna jamaa yupo ndiye kiongozi wa kikundi cha wachina anamiliki the hunter blade
3)BEYOND THE HUMMANITY hii ni ya wadada hivi hao ambao wana uwezo wa hali ya juu katika maswala ya kupambana.
Japo hizo sijawahi zishusha lakini ninaimani hapa utazipata
Asian Drama - Movies and Shows
http://www1.dramanice.to
Dramafire
Dramafever
Au download app ya viki ipo playstore
 
Vikings(king ragna) vs game of thrones(john snow)

Yaani hizi kitu ni moto wa kuotea mbali.hapa lazizi anataka nimshauri anze kuangalia ipi.nimeshindwa mshauri mana zote ni noumer
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom