fadtanji
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 768
- 999
GOT inasifiwa sana ila Mimi ilinishinda Season 2, labda siku za mbele naweza kuangalia.Lakini inawezekana ikakushinda maana na Mimi ilinishina game of thrones
Ila designated survivor ni habari nyingine jaman kali kinoma