Series (Special thread)

Mkuu wewe ndo unaendana some interests na mimi kwny ii issue ya series...umesahau na hizi ( a must watch)

Game of thrones (g.o.t)
The Originals
Rome
The crusades
Dracula...
Kwa haraka haraka nazikumbuka izo mkuu
G.O.T
 
Kuna series kali. Ila mi nimebahatika kukumbuka hizi chache.
Hii ya kwanza ni noumer

ONCE UPON A TIME.

The mentalist
V
Strike
The person of interest
Honeland
Teen wolf
Revenge
Supernatural
Once upon a time imeanza season 6 juzi kati
 
Mi napataga series hapa
o2tvseries.com
cooltvseries.com
Zamani pia fztvseries.com ila sijui imepotelea wapi.
Kama kuna mtu anafahamu zingine naomba anipe.
 
Ila ukiwa unaangalia spartacus inabidi uwe na mbaby pembeni huchelewi kulowesha nguo
 
Habari wakuu....
kwa wale wafatiliaji wa series/season,binafsi mimi ni mfatiliaji wa season tena hasa napenda season zinazohushisha sana mambo ya afya mfano mzuri series ya kikorea iitwayo DOCTOR STRANGER hii series ni best kwangu sababu kubwa ni kwakuwa inahusu mambo ya afya.
Series gani nyingine mnazozijua wazee ambazo zinahusu mambo ya afya na ni nzuri ambazo muangaliaji hawezi kuchoka kutazama....?
Ahsanteni.
Greys anatomy
mambo ya afya sana humo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom