SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,990
- 2,669
Michael alipo muokoa mama watoto then akapigwa shot. Ikasemekana amekufa.Hivi hii series iliishiaga wapi?...nimesahau kidogo.
Michael alipo muokoa mama watoto then akapigwa shot. Ikasemekana amekufa.Hivi hii series iliishiaga wapi?...nimesahau kidogo.
Illishia kwa Dr. Scott kupigwa risasi !!Hebu nikumbushe baba, last ship season2 iliishaje, maana sijui niliifuta siioni alafu sikumbuki doctor scot alikufaje!!
Hahaa!! atoto bhana, yaani mie navyopenda kusimulia movie kungekuwa na details si ningekumwagia hapa!!! In short walikuwa kwenye jengo fulani anaongea na Tom Chandler. Baada ya muda wakaagana, Dr. Scott akawa anatembea along the hallway na ghafla akatokea assassin ambae alikuwa ni miongoni mwa wale wenye kinga akam-shoot na hapo hapo akam-shoot huku akiongea maneno ya Kilatini! Wengi walitarajia ile scene ingekuwa na mwendelezo kwenye season 3 lakini ikawa kinyume chake!!chige usinifanyie hivyo bwana, plz nipe maelezo kidogo, nani alimuua and why?
Fanya kuidownload tu mkuu,maana mtu kuanzia story nzima inakuwa ngumu kidogochige usinifanyie hivyo bwana, plz nipe maelezo kidogo, nani alimuua and why?
Kwenye season 3 yule muuaji alitokea kwenye 5 episode,akiwa jela,nami nikajua kuna khs dr scott kitaanzia pale!Hahaa!! atoto bhana, yaani mie navyopenda kusimulia movie kungekuwa na details si ningekumwagia hapa!!! In short walikuwa kwenye jengo fulani anaongea na Tom Chandler. Baada ya muda wakaagana, Dr. Scott akawa anatembea along the hallway na ghafla akatokea assassin ambae alikuwa ni miongoni mwa wale wenye kinga akam-shoot na hapo hapo akam-shoot huku akiongea maneno ya Kilatini! Wengi walitarajia ile scene ingekuwa na mwendelezo kwenye season 3 lakini ikawa kinyume chake!!
Yah! Wengi waliamini hivyo... mwanzoni waliamini details zingepatikana kwenye episode ya kwanza tu; lakini hola! Halafu sijafahamu ni kwanini "wamemuua" kirahisi vile wakati alikuwa main! Chukulia Brad Bellick wa PB kwa mfano; hata kama kifo chake kilisikitisha (kwamba asingekufa) lakini unaiona sababu ya msingi kabisa ya kifo chake...Kwenye season yule muuaji alitokea kwenye 5 episode,akiwa jela,nami nikajua kuna khs dr scott kitaanzia pale!
Thats why i love you, thanks. nimekumbuka hicho kitu sasa, ngoja niendelee sasa ndio niko episod ya 4Hahaa!! atoto bhana, yaani mie navyopenda kusimulia movie kungekuwa na details si ningekumwagia hapa!!! In short walikuwa kwenye jengo fulani anaongea na Tom Chandler. Baada ya muda wakaagana, Dr. Scott akawa anatembea along the hallway na ghafla akatokea assassin ambae alikuwa ni miongoni mwa wale wenye kinga akam-shoot na hapo hapo akam-shoot huku akiongea maneno ya Kilatini! Wengi walitarajia ile scene ingekuwa na mwendelezo kwenye season 3 lakini ikawa kinyume chake!!
Yaani hapo nishajisikia kuanza kunenepa...!!!Thats why i love you, thanks. nimekumbuka hicho kitu sasa, ngoja niendelee sasa ndio niko episod ya 4
Ila chonde chonde usinenepe sana.Yaani hapo nishajisikia kuanza kunenepa...!!!
Kumbe ckuwa nyuma sana...nami niliisia hapo..Michael alipo muokoa mama watoto then akapigwa shot. Ikasemekana amekufa.
Basi sawa; nitanenepa maeneo maalum peke yake! Ukishamaliza kuangalia niambie!!Ila chonde chonde usinenepe sana.
Nadhani mwakan mzigo inaingia bara barani, na michael hakufa, ingia YouTube kwa trailer inaonesha ipo vizuri zaidi safari hii.Kumbe ckuwa nyuma sana...nami niliisia hapo..
Poa.Basi sawa; nitanenepa maeneo maalum peke yake! Ukishamaliza kuangalia niambie!!
Du hiyo dirty money@ sex naitafuta sana nipe link basiBanshee, dirty money,sexy mone(sijui ndio hivyo) na misstresses