Series (Special thread)

Tafuta ER ... Emergency Room... Ila ya mda
 
Niliangalia epsodes za mwanzoni nikatemana nayo
Ngoja niitafute tena
 
Mie ni mvivu saana kufuatilia series zinakua ndefu mno zinaniboa sana

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Bas wewe huu mjadala haukufai kabisaaaaaa
UTAMU wa series iwe na season za kutosha walau season 4 za episode 24 hivi, kitu kama week end unaangalia from saa 12 jion mpaka 12 asubui ya siku nyingine.
Acha vichaa wa series na wananzi wa hii mamabo tupeane story kali kali bwana. We bongo movie inakufaa kabisaaa maana kuna zenye mpaka dk 55 tu imeisha
 
Shikamoo wakubwa jaman kuna bint anatafuta kazi ya ndan sehem yoyote yupo tayar kwenda ila ye yupo mbeya ni bint mwenye umri wa miaka 20 kutokana na ugum wa maisha ktk family hivyo kwa anaetafuta maichana yupo
Mi ninashida naye kweli naomba contact zake ili tuwasilliane,mi napatikana kwenye 0767506704 niunganishe naye mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…