Series (Special thread)

Series (Special thread)

Tyrant S03E02 imeshatoka na ndio nimemaliza kuiangalia punde tu.

Bassam bado anaendelea na changamoto za urais.

Wanajeshi wa marekani wapo Abuddin

Sammy ameanza kuhudhuria mihadhara ya kitaaluma na tayari ameanza kuonesha mchezo wake mchafu kwa profesa.

Ihab Rashid bado yuko Syria na amepanga njama za kumteka Molly ili alipe kisasi kwa Bassam baada ya kumuua mke wake!

Ahmed, japo kwa mbinde, amefanikiwa kumzika mkewe huku akisindikizwa na Sammy na dada yake.

Molly amepanga ziara ya kutembelea ma'an lakini kunatokea ambush ambapo Mkuu wa Majeshi anauawa na bint yake anatekwa badala yake. Wakati imetokea ambush, mkuu wa majeshi aliwashauri wakimbie na yeye atapambana na wahalifu. Walipofika sehemu ya kujificha Molly anateleza na anapoteza fahamu baada ya kukanyaga jiwe. Bint yake anamficha Na maadui wanapokuja anawaambia kila MTU alikimbia kivyake.anatekwa yeye.
 
Why should u spoil??? Acha hizo mkuu
 
Hata hujanikwaza mkuu.. sema hamu ya kuipakua imeisha.. pamoja sana
Tunatofautiana mkuu. Mimi kabla sijaangalia filamu yoyote hupenda kupata dondoo ya ninachoenda kuangalia. Pamoja!

Kaka ...
 
Haya wapenzi wa hizi series zimetoka mwendelezo wake
ImageUploadedByJamiiForums1468829999.669564.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1468830015.671334.jpg
 
Wadau mambo vipi mda huu

Ni series gani zilizotoka current nzuri kuangalia, ziwe na action na story nzuri kama power au banshee
 
Wadau mambo vipi mda huu

Ni series gani zilizotoka current nzuri kuangalia, ziwe na action na story nzuri kama power au banshee
Zilizotoka 2016 ni...
1.vice principals
2.the Night Of
3.The Night Manager
4.Dead summer
5.Roadies
6.Queen of the South
7.American Gothic
8.Animal kingdom
9.Uncle Buck
10.Wrecked
11.Brain Dead
12.Guilt
13.Feed The Beast
14.Outcast
15.Cleverman
16.preacher
17.containment
18.Lady dynamite
19.Game Of Silence
20.The Ranch
21.The Girlfriend Experience..

Take ur pic..
I recommend
1.the night manager
Index of /Serial/The Night Manager/
2.Queen of the south
Index of /Serial/Queen of the South/
3.The night of
Index of /Serial/The Night Of/
4.Game of silence
Index of /TV.Show/G/Game of Silence/S01/
5.The Girlfriend Experience
Index of /files/tv/The Girlfriend Experience/Season 1/
 
Zilizotoka 2016 ni...
1.vice principals
2.the Night Of
3.The Night Manager
4.Dead summer
5.Roadies
6.Queen of the South
7.American Gothic
8.Animal kingdom
9.Uncle Buck
10.Wrecked
11.Brain Dead
12.Guilt
13.Feed The Beast
14.Outcast
15.Cleverman
16.preacher
17.containment
18.Lady dynamite
19.Game Of Silence
20.The Ranch
21.The Girlfriend Experience..

Take ur pic..
I recommend
1.the night manager
2.Queen of the south
3.The night of
4.Game of silence
Yap hizo ndo zenyewe nazifuatilia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom