Series (Special thread)

Series (Special thread)

Tittle nzuri ndani umejaa ushoga
Mimi nikajua nakutana na ishu nzito nzito kama
The meg
In the heart of the sea
The last breath
 
Attachments

  • MV5BMjk1ZWVkZWMtZjQ5Yy00NmE1LTgxZmQtMzE3ZDRhMzQwNDIzXkEyXkFqcGc@._V1_FMjpg_UX1240_.jpg
    MV5BMjk1ZWVkZWMtZjQ5Yy00NmE1LTgxZmQtMzE3ZDRhMzQwNDIzXkEyXkFqcGc@._V1_FMjpg_UX1240_.jpg
    227.6 KB · Views: 3
Ndo namalizia Lioness ep ya 8 hapa, kumbe heka heka zote ni Revenge ya Aaliyah?
Hakika ila nimekuwa sad wamemuua Alexsandra roho imeniuma kama demu wangu vile na ninavopenda wanawake wa kirusi...
Alijitolea kuwasaidia ule ni usenge wa kyle nimemchukia sana na ninafurahi pia season 4 wamemuondoa..
 
Hata mume wa Joe alivyoondoka nimependa demu mbinafsi sana anajali kazi kuliko familia, akishakuwa protected na wamemkomboa kwanini akatae kurudi home ngoja abaki peke yake tuone kama atapambana na aaliya
 
Alisema hawezi kurudi nyumbani mpaka amjue aliyekua nyuma ya utekaju wake
 
Ndo namalizia Lioness ep ya 8 hapa, kumbe heka heka zote ni Revenge ya Aaliyah?
Kauliwa baba yake na mchongo wa mtu aliyemuamini… hapo hapo kuolewa na mtu asiemtaka.. hapo hapo kupeperushiwa (blenda) yake… hiyo revenge Joe kazi anayo.. inazidi kuwa tamu
 
Hakika ila nimekuwa sad wamemuua Alexsandra roho imeniuma kama demu wangu vile na ninavopenda wanawake wa kirusi...
Alijitolea kuwasaidia ule ni usenge wa kyle nimemchukia sana na ninafurahi pia season 4 wamemuondoa..
Kyle anakurupuka sanaaa anaudhi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom