Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,419
- 34,512
Kila mtu na vitu vyake😃😃Mimi ujinga wa homland, game of throne, na nyingine wanaoigana kwa kutumia kofia zenye viwembe zilinishinda
Day of jackal niliangalia yote siku moja hata sikupumzika