Series (Special thread)

Series (Special thread)

The_Mongoose_poster.jpg

Imetoka jana.
 
Nice job kaka ila sasa hapo kwenye resolution ni 1800p? Maana GB za hapo si mchezo 😁😁 nsomba kama una links za 720 unisaidie.

kingine nilikuwa natumia FAWANEWS ku cheki Mpira hadi mechi za kibongo, kwa sasa naona kama haifanyi kazi? Kuna namna ya kupata links za local games
720p link yake sina.

Nilijua unatumia WiFi.

Fawanews mbona inafanya kazi?

Hakikisha tu kwenye URL pale hakuna S kwenye HTTPS

Yani URL iwe hivi "FawaNews - Your Home of Sport"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom