Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nimeipata kwenye app ya mdau hapo juu inaitwa Reezn
Asante kwa jitihada zako kaka
Screenshot_20260901-113333.png
 
Huwa unafatilia fan theory, jinsi watu wanavyo guess huenda ila sauti ni ya daniel keen au huenda sio miaka 300 iliyopita bali ni miaka michache tu
Nafuatilia yes, japo sikubaliani sana na hiyo theory.
Kwa mm naona hizo ni generations 2 tofauti kutoka ile ya Congressman & Helen na hii ya kina Julieth, coz ilishazungumziwa mule mule ndani kuwa silos zina more than 500 years or 300 yrs (as you said).
So sitarajii km Daniel na Helen watakua alive. Labda waje kutu surprise na idea tofauti ya teknolojia inayoweza kuwa preserve waweze kuishi through generations, km tulivyoona kwenye series ya "Fallout'

Ila nakubaliana na idea ya kua ile sauti huenda ikawa ni ya Daniel, ambayo wameiadapt through generations.
 
Wanasema plastic hiwezi kaa miaka 300 bila kufifi rangi yake ila kale ka mdori alikonako julliet ambacho ni cha helen alipewa na daniel bado kiko vile vile na rangi haijafifia hiyo inawezaje kuwa, pia wanahisi huenda resident wa silo 1 wao wapo kwenye kama hibernation miili yao inatunzwa na wanamsha wachache klla baada ya miaka 6 hivyo wanaweza kukaa miaka mingi kama kweli imepita miaka 300, pia hata kwenye kitabu nasikia wansema charlote alibaki mwishoni na julliete na baadhi ya watu wakaenda kuanzisha jamii upya nje ya silo, hivyo huenda watu wa silo 1 wapo kwenye hiyo hibernation na wamekaa miaka hyo 300 au sio muda mrefu umepita
 
Duh! It's possible, itanoga sana km ikiwa hivyo.
Ila kwa ishu ya Charlotte mbona km ina utata coz hakuwepo kabisa kwenye mpango wa silos na unasemekana huenda yeye ndie aliehusika kuachia lile bomu, japo watu waliosoma vitabu wanasema tofauti..
 
Tusubiri tuone itakuaje ila silo ni nzuri mno ingawa sioni ikipewa hype kubwa, mi naipa 9.8
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom