Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,960
- 50,021
Nilidhani yule jamaa ni bubu lakini nilivyo ona reacher nae haongei nikasem leo director kaja na jambo jipyaYani hawaongei😂
Nilidhani yule jamaa ni bubu lakini nilivyo ona reacher nae haongei nikasem leo director kaja na jambo jipyaYani hawaongei😂
Hizi movie za kuangalia ukiwa bar kuna mziki mnene😂Nilidhani yule jamaa ni bubu lakini nilivyo ona reacher nae haongei nikasem leo director kaja na jambo jipya
Sijawahi angalia hyo series..nilisikia ina mambo ya kigasho mengiiii sana